Mama sa100 au ??1.Mama
2.Mama
3.Financial services
Aaah weee hapana kabisa.Mama sa100 au ??
kwann unijazie nafasi niliyo acha wazi?
Hapo sawaAaah weee hapana kabisa.
Mama yangu mimi mkuu.
Huyo ni mama wa Abdul watajuana wenyewe huko.
financial services nakupenda mwenzio🥰Happy International Women’s Day to all women here, be blessed more and more😍🙏🏾
utakoma🤣🤣🤣🤣kwann unijazie nafasi niliyo acha wazi?
Huoni kwamba unanikosea😀
😂😂😂 basi sawaaa!!mi nawapenda wanawake wote wa jf japo kuna mda tunanangwa ila hatujawahi kujikatia tamaa🤗,, japo wengine wanasemwa ni magasho cc cocastic 🤣 ila bado atakuja ku like na kucheka tu, sisy Saint Anne mwanzoni alikua ananihamasisha kwenye mapishi ya keki ila saivi kapotea😔 Kunae Mawardat yeye amebobea kwenye meme🤣🤣 na wengineo kina Binti wa zamani na nyuzi zake za kulombana karibu kila siku🤦♀️😆😆
😘😘😘financial services
Joanah
Binti wa zamani
Seran
cocastic
Happy International women's Day wherever you are.
You're my JF heroines🥰