Siku ya Wanawake Duniani: Taja wanawake 3 unaowasherehekea leo hapa jukwaani

Siku ya Wanawake Duniani: Taja wanawake 3 unaowasherehekea leo hapa jukwaani

Wakuu,

Leo siku ya wanawake Duniani, taja wanawake unaowakubali sana jukwaani, mimi wangu ni

1. Cute Wife - sasa ntgajiachaje 😎😎
2. Mama amon - si ndo nimesahau ID yako inavyoandikwa, ila nyuzi zako inaonyesha uko smart sanaaaaa. Nakupenda😍
3. Na wanawake woteeeee JF, msijifiche jamani tuone maandiko yenyu ya nguvu, ukipigwa spana niite tuje tuwachangie🤣🤣🤣

Na wewe sema wako unaowakubali na useme kwanini, twende kazi👇👇
Hongereni sana wanawake na wasichana wote ndani na nje ya JF.
Mnapo sherehekea siku hii yenu muhimu sana kote ulimwenguni, ni vema zaidi pia mkatafakari wajibu wenu muhimu zaidi wa kulinda maadili yenu na ya jamii nzima, lakini pia kuzingatia matumizi bora ya teknolojia ya mawasiliano kwa maendeleo yenu wenyewe na ya jamii nzima.

jiepusheni kutumika kuliunganisha taifa kwa fedheha za koneksheni hasa katika siku yenu hii muhimu sana.

Mungu awabariki wanawake wote. Aimen
 
Heri ya siku yetu, nawasherehekea wanawake wote wa JF, hasa wale wanawake wa shoka kama binti kiziwi , Dr. Mariposa , Lamomy , Seran na wengine wengi ambao hawaogopi kujichanganya kwenye nyuzi za kutubagaza na kuwa the voice of reason.

Sister Abigail Happy women's day kwako kipenzi!
financial services
Joanah
Binti wa zamani
Seran
cocastic
Happy International women's Day wherever you are.
You're my JF heroines🥰
Asante sana 🤗🤗
Thanks Enzo akeee 🤗 🤗
mi nawapenda wanawake wote wa jf japo kuna mda tunanangwa ila hatujawahi kujikatia tamaa🤗,, japo wengine wanasemwa ni magasho cc cocastic 🤣 ila bado atakuja ku like na kucheka tu, sisy Saint Anne mwanzoni alikua ananihamasisha kwenye mapishi ya keki ila saivi kapotea😔 Kunae Mawardat yeye amebobea kwenye meme🤣🤣 na wengineo kina Binti wa zamani na nyuzi zake za kulombana karibu kila siku🤦‍♀️😆😆
Thanks love, nyuzi za kulombana kila siku ni uongo 😂 😂.
Ila napenda sana kuwachangamasha humu wasisahau kwamba na sisi wanawake tunastahili pleasure na si lazima tujifiche fiche kwenye raha zetu. HWD kwako win-one replies zako huwa zinanifurahisha sana!
Binti wa zamani

Seran

Bila kumsahau mdogo wangu cocastic

Happy women's day
Thanks mdogo wangu 🤗
 
Back
Top Bottom