MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
Aisee😍, ahsante nawe pia🙏mi nawapenda wanawake wote wa jf japo kuna mda tunanangwa ila hatujawahi kujikatia tamaa🤗,, japo wengine wanasemwa ni magasho cc cocastic 🤣 ila bado atakuja ku like na kucheka tu, sisy Saint Anne mwanzoni alikua ananihamasisha kwenye mapishi ya keki ila saivi kapotea😔 Kunae Mawardat yeye amebobea kwenye meme🤣🤣 na wengineo kina Binti wa zamani na nyuzi zake za kulombana karibu kila siku🤦♀️😆😆