Siku ya Wanawake Duniani: Taja wanawake 3 unaowasherehekea leo hapa jukwaani

Siku ya Wanawake Duniani: Taja wanawake 3 unaowasherehekea leo hapa jukwaani

Heri ya siku yetu, nawasherehekea wanawake wote wa JF, hasa wale wanawake wa shoka kama binti kiziwi , Dr. Mariposa , Lamomy , Seran na wengine wengi ambao hawaogopi kujichanganya kwenye nyuzi za kutubagaza na kuwa the voice of reason.

Sister Abigail Happy women's day kwako kipenzi!

Asante sana 🤗🤗

Thanks Enzo akeee 🤗 🤗

Thanks love, nyuzi za kulombana kila siku ni uongo 😂 😂.
Ila napenda sana kuwachangamasha humu wasisahau kwamba na sisi wanawake tunastahili pleasure na si lazima tujifiche fiche kwenye raha zetu. HWD win-one replies zako huwa zinanifurahisha sana!

Thanks mdogo wangu 🤗
Happy our day! 🥰🌸🌸

Cheers 🥂
 
Back
Top Bottom