min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Bwashee mimi unafikiri kuna siku naweza ogopa?Hicho unachomaanisha kiseme tuu usiwe mwoga bwashee😄
Bwashee mimi unafikiri kuna siku naweza ogopa?Hicho unachomaanisha kiseme tuu usiwe mwoga bwashee😄
Dogo! Nasema tena mama yangu asingekuwa mkali ningekuwa mahali nina watoto watano nalima kilimo cha “kijikimu “ 🤣Sasa binti kiziwi wa 93 dogo mwenzako huyo🤣
Unatamani ukubwaaa! muoneHahaha nyie wadogo zetu , inabidi tujipunguze ili tuendane na nyie🤣🤣
Madogo wa alfu mbili mfunge mdomo wazee wenu tunalewa😁Dogo! Nasema tena mama yangu asingekuwa mkali ningekuwa mahali nina watoto watano nalima kilimo cha “kijikimu “ 🤣
Kwa sasa yeye ni brother hadi pale itakavyosemekana vinginevyo.
Mimi au mwingine 🤣Unatamani ukubwaaa! muone
Wewe huyo!Mimi au mwingine 🤣
Bwashee mimi unafikiri kuna siku naweza ogopa?
33 kadogo mno 🤔Wewe huyo!
Tangu enzi zile Evelyn Salt ni bro kaka, labda umefananisha ID 😂.Brother kwa Gen Z.
Wadada nitakaowataja kwa Genz lazima wawaone ni mabroo.
Lakini kwetu sisi ni pisikali tuu
Hahaha nyie wadogo zetu , inabidi tujipunguze ili tuendane na nyie🤣🤣
Uwiiiiii, holly-the entire blood of Jesus!!!! Fire fire!33 kadogo mno 🤔
Tangu enzi zile Evelyn Salt ni bro kaka, labda umefananisha ID 😂.
Uwiiiiii, holly-the entire blood of Jesus!!!! Fire fire!
Ohh nilisahau wewe ni atheist 😩
Viatu vyenye soli nene 🤣Siku hizi nami nimeamua niwe Gen Z ili dunia isinipite.
Ndio maana min -me anashindwa kujua uhalisia wangu.
Tayari nimenunua masuruali mapana,
Sendo, na Viatu vyenye soli nene
Umefanya vyema mkuu. Hata humu JF unatakiwa ku-comment ka Gen z ili ueleweke, ndo maana Mimi humu naonekana kama Gen z 😂.Siku hizi nami nimeamua niwe Gen Z ili dunia isinipite.
Ndio maana min -me anashindwa kujua uhalisia wangu.
Tayari nimenunua masuruali mapana,
Sendo, na Viatu vyenye soli nene
Viatu vyenye soli nene 🤣
Umefanya vyema mkuu. Hata humu JF unatakiwa ku-comment ka Gen z ili ueleweke, ndo maana Mimi humu naonekana kama Gen z 😂.
Nilikumbwa na upara tangu 2016 na mvi zilinishambulia tangu 2009. Kadiria umri wangu.Wewe ni Gen Z sio unajifanya kama mimi😃😃