Whabeja sana dosho wane😍
Tuanze kuzipunguza zile milioni 200 😂 😂Binti wa zamani njoo basi Finz Seafood and Grill 🔥🔥..
Nasikia we ni shoga kumbe jike
tutumie kidogo tu alafu hizo zingine zina mahala pake, pitia mtaani kwanza kuna bahasha yako 😁😁Tuanze kuzipunguza zile milioni 200 😂 😂
Hakyaaaaaa Mnyazimngu tena swela be wa kunyumbi!Wee em sema kwelii? 😂😂😂
Asante Kwa kunipa 5 Robertbinti kiziwi
Evelyn Salt
Kalpana
Doctor Mama Amon
Bushmamy
Hao ndio Wanawake ambao ninawasherehekeaga humu..
Hizo bahasha za usiku usiku, kulikoni?tutumie kidogo tu alafu hizo zingine zina mahala pake, pitia mtaani kwanza kuna bahasha yako 😁😁
Endelea kutega sikio vizuri, ili usikie na mengine zaidi.Nasikia we ni shoga kumbe jike
Veve wa makehu, 😂😂😂Hakyaaaaaa Mnyazimngu tena swela be wa kunyumbi!
😅😅
Amen love 🥰Li dada leo dada lilikuwa linalike comment zangu nikaanza kuogopa hugu ni gunani kumbe gusisiteri tu gunaelewa maakili na makomenti ya genius wa mitaa ya muhimbili na mwamba wa viboko kwa watoto watukutu wa keko .
Li dada Seran hili lisisiteri linamkubali mlevi mmoja na ushubwada wake wa mikomenti
Nayakubali haya madada may God bless them aisee
😁😁 Umeanza woga lini wa kuogopa giza la usikuHizo bahasha za usiku usiku, kulikoni?
Asante Dosho akeee 😊!