Siku ya Wanawake Duniani: Taja wanawake 3 unaowasherehekea leo hapa jukwaani

Vipi unataka upokelewe wewee?? 😂😂😂
Kina Lamomy nae wakatili kweli ila mie huwa nampenda tuu hivo hivo unajua Tena ukishapenda kazi kweli

Yani Hawa kina Lamomy wamerizika na kufurahia kabisa kumpokea mwanaume cocastic kwenye kundi la wanawake wenzao duuh Wana roho ngumu za kikatili Yani unafrhia kabisa mtu kukwanguliwa marinda
 
nakuheshimu ila nimeweka a.k.a ili wageni wakiingia wasijichanganye🤣🤣🤣
Humu hakuna wageni wanabadili id, wanadanga kwenye id za zamani wakichuja wanarudi kivingine..!! 😹😹🤣

Na sisi wakali wa kuzoom tunawachora.
Nwei watakavyokuja ndivyo watakavyopokelewa..!!
 
Kina Lamomy nae wakatili kweli ila mie huwa nampenda tuu hivo hivo unajua Tena ukishapenda kazi kweli

Yani Hawa kina Lamomy wamerizika na kufurahia kabisa kumpokea mwanaume cocastic kwenye kundi la wanawake wenzao duuh Wana roho ngumu za kikatili Yani unafrhia kabisa mtu kukwanguliwa marinda
Wewe utakuwa unampenda coca unashindwa kumwambia 😹😹😹

Sasa unataka tumtenge ili iweje?
Coca ni binti mbichi, mrembo ana kishepu bomba JF nzima hakuna..!!

Wewe km umemuelewa lete faranga mi nikuweke upoe hapo kwa pisi kaleee..!!
 
Ac

Acha basi mama lake Lamomy kumuita mwanaume mwenzetu Binti mbichi mrembo mwenye kishepu bomba Jf nzima, unamwitaje mwanaume hivo

Afu mie nakutaka wewe Lamomy mie siwezi kupakua mwanaume kisamvu akati wanawake watamu kama kina Lamomy mpo, upo hapo bebi wangu Lamomy
 
Una uhakika gani km mwanaume?
Ushawahi kumuona?

Huyo ni demu na mkaree kinouma afu rangi ya mtume ile og sio ya mkorogo km dada zako wa kisukuma..!! 😹😹😹
 
Duuh Lamomy mama lake wataka kunijaza kwenye mfumo nikapakue samvu la mtoto Mchele mchele.

Wee wanitosha tuu baby wangu Lamomy
 
mi nawapenda wanawake wote wa jf japo kuna mda tunanangwa ila hatujawahi kujikatia tamaa🤗,, japo wengine wanasemwa ni magasho cc cocastic 🤣 ila bado atakuja ku like na kucheka tu, sisy Saint Anne mwanzoni alikua ananihamasisha kwenye mapishi ya keki ila saivi kapotea😔 Kunae Mawardat yeye amebobea kwenye meme🤣🤣 na wengineo kina Binti wa zamani na nyuzi zake za kulombana karibu kila siku🤦‍♀️😆😆
Nipo mwaya
Karibu tuendelee kuoka keki
 
Back
Top Bottom