Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Leo 😂😁😁 Umeanza woga lini wa kuogopa giza la usiku
Leo 😂😁😁 Umeanza woga lini wa kuogopa giza la usiku
Hatuna bando.
Kumbe upo hai, Mungu mwema🤩Hatuna bando.
Mimi mtani wako wa Pale Mtwango unapopitaga na Superfeo!Veve wa makehu, 😂😂😂
😂😂😂 aaah penapo, nakamanyi lepa mtani.Mimi mtani wako wa Pale Mtwango unapopitaga na Superfeo!
😅😅😅
Mfungo haujaisha 😁Asante Dosho akeee 😊!
Ile namba ulipata au mkwara umeisha?
Na kwako pia kipenzi changu..!! 😍Heri ya siku yetu, nawasherehekea wanawake wote wa JF, hasa wale wanawake wa shoka kama @binti kiziwi , @Dr. Mariposa , @Lamomy na wengine wengi ambao hawaogopi kujichanganya kwenye nyuzi za kutubagaza na kuwa the voice of reason.
@Sister Abigail Happy women's day kwako kipenzi
Yamekuwa hayo last born wetu wa JF 😹😹
Thanks Mlongo, 😘😘😘
Thank you shemu lakeeeeeee🥳
Asante daktari mwenye akili zakeLi dada leo dada lilikuwa linalike comment zangu nikaanza kuogopa hugu ni gunani kumbe gusisiteri tu gunaelewa maakili na makomenti ya genius wa mitaa ya muhimbili na mwamba wa viboko kwa watoto watukutu wa keko .
Li dada Seran hili lisisiteri linamkubali mlevi mmoja na ushubwada wake wa mikomenti
Nayakubali haya madada may God bless them aisee
Pamoja dadaAsante daktari mwenye akili zake
Asante kipenzi.leo dada - dada mmoja anayejitambua sana, matured and so lovely🥰
win-one i love the way she talks🤗 dada mdogo anajielewa huwezi ukakuta kamtusi mtu jukwaani🥴
Dr. Mariposa - she’s sweet kwakweli🥲, lady with bigger brains wenyewe mnaona mwandiko wake💃🏽