min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Hahaha mimi pombe wala sio tatizo bwashee , ila sisi wanyabi tunakuaelewa 😁😁 kiufupi hao ndio mademu unao waogopa bwashee🤭 Mtani naona gambe imeanza kupanda kichwani.
Ukiona naogopa ujue nipo kwenye igizo.