Paul Kijoka
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 1,399
- 255
Naamini kuwa wanawake wanahitaji kuwa na haki sawa na wanaume ila si kwa jinsi ninavyoona mimi hii ni vita
kati ya wanaume walio kimya na wanawake wanaotumia majukwaa kupambana nasi.
Mimi nadhani wanawake wanatakiwa kufanya kwa vitendo na si kutumia majukwaa wakati wakifika majumbani wananywea na kutenda tofauti. Moja ya mambo wanayotakiwa kuyafanya ni:

- kukataa VITI MAALUM maana wao sio waremavu au watu wenye mahitaji maalum
- kukataa aina yoyote ya upendeleo
- kufanya kazi kwa bidii
- kuwa wajasili kwa kutii sheria na kuwajibisha yeyote anayewaadhalilisha
- kupunguza majukwaa na kuwa na mikakati
- kufika vijijini
- kukataa kuwa mboga za viongozi waserikali na kutumiwa
- etc