Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”

Tokea akiwa Makamu wa Rais, alinasibishwa na tabia ya upole na ustaarabu!

Ilitarajiwa kuwa tabia hiyo ingeendelea hata kwenye Urais aliououpata mwaka 2021. Mwanzoni watu walipata matumaini,
Naunga mkono hoja,
Samia huyu wa Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!” na huyu "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza
na huyu Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila...

Ndiye niliyemfahamu mimi,
Hata Mbowe alipokosa imani na Rais Samia,nilimshauri Nimemwelewa sana Mbowe, usipoteze imani na Rais Samia. Alivyo kwa Kauli na Matendo hawezi kuwa ni yeye!

Naendelea kusisitiza Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda
tumpe muda wa kutosha wa mitano tena!
P
 
Thread 'Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”' Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”
P
 
Mkuu Agent-47 , karibu pande hizi
P
 
Ni katika kukumbushana tuu, niliwahi kusema nini humu kumhusu Samia Suluhu Hassan, kabla hajawa rais wa JMT.

Hiyo October 29 tukiamua kumpa tena mitano mingine, then atafanya better and better!
Tumpe!.
P
 
HBD Rais Samia Suluhu Hassan.

P
 


Masikini kaka P,

Hakujua madaraka yanavyo badilisha watu
 
Masikini kaka P,

Hakujua madaraka yanavyo badilisha watu
Kiukweli siamini kama huyu mtu aliyesifiwa kwenye uzi huu,ndiye mtu aliyetetea nguvu iliyotumika ile October 29!,ni kama watu wawili tofauti!

its either huyu wa enzi hizi ndiye mwenyewe halisi alivyo,ila baada ya kupata madaraka amebadilika maana power corrupt,au enzi zile,alikuwa anajiegesha tuu kwa kukunja makucha,na sasa hizi ndizo rangi zake halisi,ameyakunjua makucha!

Nasubiria kwa hamu,matokeo ya Tume ya uchunguzi,tumjue aliyetoa amri ya kutumia pyu pyu za moto kwa waandamaji wasio na silaha.
P
 
Leo siku ya wanawake duniani, nawapa hongera wanawake wote duniani kwa kuzaliwa wanawake, maana hakuna maisha kwa maana ya life bila mwanamke, ila life bila mwanaume, inawezekana, but there is no life without a female!. Big up sana kwa wanawake wote !.
P.
 
Leo ni siku ya Happy Mothers Day,
Natoa salamu zangu kwa wanawake wote ambao ni wa mama, akiwemo mwanamke huyu!.
Happy Mothers Day!.
Paskali.
 
Nimeona maono mama Samia Suluhu akimwapisha Waziri Mkuu mpya.

Nimejiuliza sana maana yake ni nini. Na sijawahi kuona maono hivi yasitokee. Au 2020 ni zamu ya Rais mwanamke?
Mkuu Ninja Thanks for this, Tanzania kuwa na Rais mwanamke? hii yako ni September 17, 2017,
Mimi nilikutangulia kidogo!, bandiko hili ni la March 9, 2017.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…