Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Maisha sio lazima kuongoza tu,kuliko kutuharibia amani ya nchi yetu hata kazi zingine za kufanya zipo.
Ukamiliki kwa kuongoza bali unakamilika kwa kutambua kusudi, kusudi ni kuwatoa watu kwenye giza.
 
Mama ametufikia hakuna idd al haj iliyopita inaweza kuifikia hii
1)ulinzi umeimarishwa
2)utekaji unaendelea
3)hakuna ukosoaji
4)hakuna uchaguzi
5)natumia orbot
Mama anaupiga mwingi bila uhuru je uhuru ungekuwepo mitano teno tupo na mama mpaka tutekwe2025-2030,2030-2035 hamtaki mjigwajimize mtachoka #churakiziwi#kengewandani#mwijaku#chawawamama#babalevo#msukuma#hamieniburundi#
 
Kwa yanayoendelea katika anga za Kimataifa Nchi Moja ya Afrika Mashariki ijiandae tena kuongozwa na Makamu wa Rais either kabla au baada ya uchaguzi.

Duru kutoka The Hague Uholanzi zinadai wakati wowote Rais mmoja mwanamke atatolewa hati ya kukamatwa na Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai kutokana na tuhuma za makosa dhidi ya Binadamu hasa ubakaji, utekwaji, upotezaji wa Wapinzani wa Kisiasa.

Baada ya Hati hiyo kutolewa kuna uwezekano ikaundwa TaskForce itakayoongozwa na moja ya Taifa kubwa sana duniani kuhakikisha anakamatwa na kufikishwa The Hague.

Tumefika pazuri sana.......

Ukombozi unakaribia..........
 
Akina kenyata na makamu wake Ruto walipelekwa ICC. Iliwatikisa kidogo. Ila siombei raisi wangu apelekwe ICC .

Tumpe muda ni homa ya uchaguzi toka kwa machawa haki itatamalaki tuu
 
Huo utakuwa ni ukombozi wa pili tunaousubiri. Wakamatwe na wakuu wote wa vikosi vya ulinzi na usalama wa hilo maana tulitegemea baada ya mateso mengi kwa raia vikosi hivyo vingepindua serekali ya jimama hilo lkn wamekaa kimya kuonyesha kuunga mkono dhuluma za raia wao
 
Tokea akiwa Makamu wa Rais, alinasibishwa na tabia ya upole na ustaarabu!

Ilitarajiwa kuwa tabia hiyo ingeendelea hata kwenye Urais aliououpata mwaka 2021. Mwanzoni watu walipata matumaini, lakini haukupita muda mrefu kabla haijathihirika kuwa matumaini hayo ni "ndoto za Alinacha"

Nilishtuka na kushangaa pale alipoanza kujibizana na wanaomkosoa kwa kejeli zisizostahili kutumkwa na yeye kama mama na Kiongozi mkuu wa Kitaifa! Mama ni kumbe mwenye huruma! Rais ni Mfariji Mkuu wa watu wake!

Kejeli kama:
1. Katiba ni kijitabu tu!
2. Kifo ni kifo tu!
3. Utekaji ni vidrama, n.k., havikustahili kutamkwa kinywani mwake?l!

Nini kimempata?

Amedanganywa na washauri wake?
 
Genge la wahuni.nyuma yake ndiyo Tatizo
 
Pata pawa uhalisia wako ujitokeze
 
Back
Top Bottom