Tokea akiwa Makamu wa Rais, alinasibishwa na tabia ya upole na ustaarabu!
Ilitarajiwa kuwa tabia hiyo ingeendelea hata kwenye Urais aliououpata mwaka 2021. Mwanzoni watu walipata matumaini, lakini haukupita muda mrefu kabla haijathihirika kuwa matumaini hayo ni "ndoto za Alinacha"
Nilishtuka na kushangaa pale alipoanza kujibizana na wanaomkosoa kwa kejeli zisizostahili kutumkwa na yeye kama mama na Kiongozi mkuu wa Kitaifa! Mama ni kumbe mwenye huruma! Rais ni Mfariji Mkuu wa watu wake!
Kejeli kama:
1. Katiba ni kijitabu tu!
2. Kifo ni kifo tu!
3. Utekaji ni vidrama, n.k., havikustahili kutamkwa kinywani mwake?l!
Nini kimempata?
Amedanganywa na washauri wake?