The dumb Professor
JF-Expert Member
- Dec 10, 2023
- 1,001
- 2,360
"Mkinichagua, makonda atakuwa waziri mkuu''
Utaumia moyo bure.Mama,mitano tenaNi kweli amefanya mengi yaliyomshinda Mwalimu Nyerere,
1. Udini
2.Kuvunja Muungano
3.Kuuza Bandari
4.Kuwapa Waarabu waitunze misitu yetu yote ya Tanzania
5.Kufukuza Wamasai kutoka Ngorongoro kuwapeleka Tanga.
6.Kuwarudisha Waarabu Zanzibar
7.Kuuza Gesi
8.Kuuza migodi ya madini
9.Kuuza mgodi wa Makaa ya Mawe.
Manchester university alichosoma ni sawa na university of dar es salaam?Mzumbe ilijulikana kama IDM, miaka ile kikifundisha uongozi kwa watumishi wengi wa serikali. Ni miaka hiyo ambayo Samia alisoma hapo ka-cheti kake baada ya kufeli form 4, kama alivyosema.
Swali langu ni kutaka kufahamu chuo hiki kilikuwa kinafundisha nini kwa watu kama hawa ambao leo hii hawaoneshi kama walipata kitu kichwani. Kinachotokea TZ ni sihara kwamba hakuna kilichokaa kichwani. Bahati mbaya sana mtu huyu hakuwahi kuingia chuo kingine chochote cha maana, angalau kuiinua akili yake.
IDM Mzumbe nazidi kutia mashaka juu ya masomo muliyofundisha wa-TZ.
Huwa haieleweki wananchi wakisema rai wao ana uwezo mdogo wa akili, lakini huyu Samia ahajachanguliwa na wananchi na wana uwezo wa kusema uwezo wake wa akili ni mdogo.
Mtu aliye na kikosi cha mauaji, kabla na baada ya uchaguzi, sasa anaomba maridhiano. Maridhiano yapi? Yaani tusema kwamba aliuwa lakini asamehewe? Kama Mch. Gwajima alitoa mfano tu, juu ya mwanae kutekwa, akaanza kutafutwa, yeye leo hii anaona ni akili nzuri kuwaeleza watanganyika kwamba anataka maridhiano kwa mauaji!
Imefikia hatua tunauliza utendaji wake huko Zanzibar, lakini yaoenkana alikuwa maarufu kwa kazi moja tu, ambayo siyo vizuri kuitaja mitandaoni. Mtu wa aina hii aliingiaje madarakani? Hapo ndo unamuona Kikwete akitajwa. Kwamba ni yeye tu anayefahamu ubora wa Samia.
Leo hii anateua mwane kuwa waziri. Akiulizwa anasema ana uzoefu. Kwani milioni 65 hawana uzoefu? Tanganyika imekuwa ni biashara ya familia? Wanateuliwa siyo waoneshe uwezo, hapana! Ni, ili wafaidike na pesa za wizara kama wengine walivyofanya miaka 4 iliyopita.