Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Sasa hivi anaamua ya kwake kwa sababu wakati wa Baba, Mama hakusikilizwa ushauri wake kwa hiyo mumuache kabisaa awafanyie kazi watu, besides sasa hivi watu wanahitaji faraja kwanza kwa maisha walopitia hapo nyuma.

Nawasilisha
Tumepata hiyo faraja?
 
Napata taabu sana pale napofikiria nilivyolelewa kuanzia ngazi ya kifamiliya, koo kijamii, adi Kitaifa...ni kwamba unapoona mambo hayaendi kwenye ngazi za kifamiliya Wazee uwa uitana na kuanza kujadili na mwisho Mzee Moja anainuka na kutoa mwelekeo wa nini kifanyike kusudi mambo yaendelee mbele kwa familiya...na siyo uyo Mzee siku zote Lazima awe jinsia ya kiume.
Nasisitiza Lazima awe jinsia ya kiume.
"Rejea kipindi Wana wa Israel wakiwa wanatoka Misri kuitafuta mji wa ahadi...mambo yalipokwama kabisa ilibidi Nabi Musa aende kutafuta jawabu mbele za Mungu na kuja na suluisho kwa Taifa lake"
Sasa kwa sisi mpaka apa tulipofika tunaitaji Wazee wa busara wakae chini walichakate na wake na Jibu Moja tu...ambalo Uma uanitaji kusikiliza kutoka kwao.
 
So sad....😭😭 Hivi wale wazee kipindi Cha kupigania Uhuru Kwani wao walikuwa wanawezaje..?
Watu wako buzzy na kupambania ulaji wa kizazi chao..
Hawana huo mda wa kuwapambania wengine
 
Kabisa Wakina Musa na Wakina Aruni wanakosekana kabisa ndani ya hii nchi...
Kwa staili hii Swala la Uzalendo Tusahau kabisa
 
Napata taabu sana pale napofikiria nilivyolelewa kuanzia ngazi ya kifamiliya, koo kijamii, adi Kitaifa...ni kwamba unapoona mambo hayaendi kwenye ngazi za kifamiliya Wazee uwa uitana na kuanza kujadili na mwisho Mzee Moja anainuka na kutoa mwelekeo wa nini kifanyike kusudi mambo yaendelee mbele kwa familiya...na siyo uyo Mzee siku zote Lazima awe jinsia ya kiume.
Nasisitiza Lazima awe jinsia ya kiume.
"Rejea kipindi Wana wa Israel wakiwa wanatoka Misri kuitafuta mji wa ahadi...mambo yalipokwama kabisa ilibidi Nabi Musa aende kutafuta jawabu mbele za Mungu na kuja na suluisho kwa Taifa lake"
Sasa kwa sisi mpaka apa tulipofika tunaitaji Wazee wa busara wakae chini walichakate na wake na Jibu Moja tu...ambalo Uma uanitaji kusikiliza kutoka kwao.
Dkt Deus Kibamba ametoa muelekea mzuri, kamsikilize youtubu
 
Kwanini jeshi linadhalilishwa hivi awamu hii?Kwanini imefikia hatua hadi polisi anaweza mdhalilisha mwanajeshi hadharani?

Huyu haji Omar kheri nae ni wa kuambatana na Rais kweli?Baada ya tuhuma nzito vile?
Sasa Samia hauna imani namna hii na magenerali mpaka unawapitishia walinzi nyuma na mbele ulifuata nini huko jeshini?

Hawa kina mapete wanakudanganya, PSU haina uwezi wa kudhibiti jeshi hata kama wanajeshi hawana silaha, hizo hizo silaha watu wako wa PSU wanaingia nazo Jeshi kama wanajeshi wangekuwa wanakutaka zingetumika dhidi yako

Uwezi kuongoza nchi kwa silaha mpaka majeshi namna hii unaingia umechanganyikiwa unaweka jeshi chini ya ulinzi wa wahuni hao?

Hivi JWTZ mtadhalilishwa hivi mpaka lini? Kwamba mnaweza linda mpaka ya nchi, mna ndege na vifaru halafu eti Samia ana imani nanyie hapo kambini Monduli anakuja na watoto wadogo kweye masuala ya ulinzi kuwatisheni namna hii?

Mna kazi gani sasa kama yeye anaona PSU inaweza mlinda kuliko nyie ? Kwamba JESHI lina uwezo mdogo hivi tunavyoonyeshwa hapo ? Kwa nyie ni kama waharifu wengine tu hapo kambili mnafanyiwa mambo ya ajabu ajabu namna hii?

Huyu hana imani na nyie sababu ameua ndugu zenu, sasa mwambieni amuwezi kufanya naye kaziView attachment 3505904
20251122_172923.jpg
20251122_172529.jpg
20251122_172533.jpg
20251122_172525.jpg
 
Back
Top Bottom