GemMaster II
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 3,599
- 11,307
Tz kuna jeshi au utopolo.
Haji omary kheri ni jambazi mwizi Gaidi muuaji aliyewachukua kmkm kuwapeleka Tanganyika kuwapiga Risasi kuwaua watanganyika kwa wingi huku yeye mwenyewe akiwa amewaua wengi kwa Bunduki yake binafsi toka kwenye kontena la Abdul, kuingia kambi ya jwtz na walinzi wake wa kawaida kuzunguka nao ni Aibu kwani hapo Jwtz wameonekana ni Takataka tuKwanini jeshi linadhalilishwa hivi awamu hii?Kwanini imefikia hatua hadi polisi anaweza mdhalilisha mwanajeshi hadharani?
Huyu haji Omar kheri nae ni wa kuambatana na Rais kweli?Baada ya tuhuma nzito vile?
Sasa Samia hauna imani namna hii na magenerali mpaka unawapitishia walinzi nyuma na mbele ulifuata nini huko jeshini?
Hawa kina mapete wanakudanganya, PSU haina uwezi wa kudhibiti jeshi hata kama wanajeshi hawana silaha, hizo hizo silaha watu wako wa PSU wanaingia nazo Jeshi kama wanajeshi wangekuwa wanakutaka zingetumika dhidi yako
Uwezi kuongoza nchi kwa silaha mpaka majeshi namna hii unaingia umechanganyikiwa unaweka jeshi chini ya ulinzi wa wahuni hao?
Hivi JWTZ mtadhalilishwa hivi mpaka lini? Kwamba mnaweza linda mpaka ya nchi, mna ndege na vifaru halafu eti Samia ana imani nanyie hapo kambini Monduli anakuja na watoto wadogo kweye masuala ya ulinzi kuwatisheni namna hii?
Mna kazi gani sasa kama yeye anaona PSU inaweza mlinda kuliko nyie ? Kwamba JESHI lina uwezo mdogo hivi tunavyoonyeshwa hapo ? Kwa nyie ni kama waharifu wengine tu hapo kambili mnafanyiwa mambo ya ajabu ajabu namna hii?
Huyu hana imani na nyie sababu ameua ndugu zenu, sasa mwambieni amuwezi kufanya naye kaziView attachment 3505904View attachment 3505905View attachment 3505906View attachment 3505907View attachment 3505908
Mafwele huwadhalilisha sana, katiba mpya ni muhimu ili iwape jwtz heshima yao kama mataifa mengine jeshi la Ulinzi huheshimika sanaTz kuna jeshi au utopolo.
Presidential Security UnitNaomba unitoe tongo tongo, PSU ndiyo akina Nan hao?
Washauri wa Mama mkoloni kaburu toka Zanzibar ni Division zero form three chukwani Zanzibar unategemea nini? Haji Omary kheri mda wote humshauri awateke kuwaua kuwabambikia watu kesi, hana washauri kazungukwa na mashetani watupuPSU ni nini MKUU?? bado uko dunia ya miaka ya 80 hakuna kitu kama hicho nyakati hizi JIUPDATE.
By the way unaowaona mafala ndo wameibeba hii nchi mpaka sasa vinginevyo mlikua mnasaga meno
Kabisa 100%Hamna jeshi hapo, tumepigwa
[emoji23]Akiachwa huyo kitengo cha waganga ashike nani?
[emoji44]Nasikia PSU mmoja sawa sawa na kamandi mbili za jeshi linalo onekana kama la wananchi wa Tanzania
100% agreeWanajeshi wenyewe ni wapuuzi tu hayajitambui kabisa.
Kwenye huu sintofahamu, Askari Polisi ikiongozwa na IGP imeonakana ina nguvu kuliko JWTZ.Mafwele huwadhalilisha sana, katiba mpya ni muhimu ili iwape jwtz heshima yao kama mataifa mengine jeshi la Ulinzi huheshimika sana
Haitobadilisha ukweli kuwa wanatumika vibayaJWTZ wamelamba asali
Natamani jwtz wawe wanafika JF wasome comments wapate kujutia ujinga waoJWTZ limetusaliti hivyo linastahili kudhalilishwa
PSU ni president security unity kikosi cha ulinzi wa RaisNaomba unitoe tongo tongo, PSU ndiyo akina Nan hao?
Kabisa wanavuna walichopandaJWTZ limetusaliti hivyo linastahili kudhalilishwa
Tuliambiwa ni la sita duniani kwa ubora[emoji23]Tz kuna jeshi au utopolo.
Kabisa na huyu huyu haji ndo alihusika kuuwa wanajeshi wetu ambao tarehe 29 waliwasapoti wananchi kwenye maandamanoHaji omary kheri ni jambazi mwizi Gaidi muuaji aliyewachukua kmkm kuwapeleka Tanganyika kuwapiga Risasi kuwaua watanganyika kwa wingi huku yeye mwenyewe akiwa amewaua wengi kwa Bunduki yake binafsi toka kwenye kontena la Abdul, kuingia kambi ya jwtz na walinzi wake wa kawaida kuzunguka nao ni Aibu kwani hapo Jwtz wameonekana ni Takataka tu
Ni kweli kabisaMafwele huwadhalilisha sana, katiba mpya ni muhimu ili iwape jwtz heshima yao kama mataifa mengine jeshi la Ulinzi huheshimika sana
Kabisa jeshi lilikua enzi za Mabeyo na MwamunyangeHata jeshi linahitaji ukombozi
Lina hali ngumu