kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 11,190
- 24,620
Hata mm naonaKikosi maalumu cha walinzi wa mhemishiwa Rais
Hata mm naonaKikosi maalumu cha walinzi wa mhemishiwa Rais
Walipewa laki 3 na 10 kama Asante baada ya kusupport mauaji ya tarehe 29!Aya ndio matatizo ya kwenda jeshi ilikusolve ajira
KabisaKwakuwa wameridhika wenyewe waache mpaka watakapoanza kushikwa kende ndio watagundua mazoea yamezidi.
Zinawasaidia nini hizo sasaWalipewa laki 3 na 10 kama Asante baada ya kusupport mauaji ya tarehe 29!
Waliibeba lini!?By the way unaowaona mafala ndo wameibeba hii nchi mpaka sasa vinginevyo mlikua mnasaga meno
President Security UnitNaomba unitoe tongo tongo, PSU ndiyo akina Nan hao?
Wamepewa mwalimoAaah wapi protocol zimevunjwa mchana kweupe
😌PSU ni nini MKUU?? bado uko dunia ya miaka ya 80 hakuna kitu kama hicho nyakati hizi JIUPDATE.
By the way unaowaona mafala ndo wameibeba hii nchi mpaka sasa vinginevyo mlikua mnasaga meno
Wapime kujitambua kwao kwa kuangalia huu mfuatano..je ni kweli hajitambui au ni kitu gani hasa kinawasibu.Wanajeshi wenyewe ni wapuuzi tu hayajitambui kabisa.
..mnaijua hii hali lakini? msilaumu watu bure..muelewe pia mazingira yanayowasibu hao mnaowalaumu.Haji omary kheri ni jambazi mwizi Gaidi muuaji aliyewachukua kmkm kuwapeleka Tanganyika kuwapiga Risasi kuwaua watanganyika kwa wingi huku yeye mwenyewe akiwa amewaua wengi kwa Bunduki yake binafsi toka kwenye kontena la Abdul, kuingia kambi ya jwtz na walinzi wake wa kawaida kuzunguka nao ni Aibu kwani hapo Jwtz wameonekana ni Takataka tu
Hii kama documentary ya CNN unaitengeneza ili malengo yako yafanikiwe, hongera Mkuu...mnaijua hii hali lakini? msilaumu watu bure..muelewe pia mazingira yanayowasibu hao mnaowalaumu.
1. Rear Admiral Ameir Hassan aliteuliwa kuongoza Kamandi ya Jeshi la Wanamaji kuanzia Okt 2023 hadi sasa.
2. Kwa sasa Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu ipo chini ya Meja Jenerali Fadhili Omary Nondo kuanzia tarehe 28 Disemba 2022 akipokea kijiti hicho toka kwa Meja Jenerali Antony Chacha Sibuti (Mstaafu).
3. Meja Jenerali Shabani Mani aliteuliwa kuwa Kamanda wa Jeshi la Anga kuanzia tarehe 23 Aug 2021 hadi sasa..
4. Mkuu wa Kamandi ya Vikosi Chini ya Makao Makuu ya Jeshi Meja Jenerali Iddi Nkambi
5. Meja Jenerali Rajabu Mabele Mkuu wa JKT kuanzia tarehe 19 May 2021 hadi sasa
6. Chief of Defence intelligence Mbaraka Mkeremy
7. Chief Logistics and Engineering hawa Kodi
8. Chief of Staff Salum Haji Othman
Achana na story za vijiweni. Uliza waliopo ndaniNasikia PSU mmoja sawa sawa na kamandi mbili za jeshi linalo onekana kama la wananchi wa Tanzania
Unadhani solution ni nini kwenye situation kama hiyo?..mnaijua hii hali lakini? msilaumu watu bure..muelewe pia mazingira yanayowasibu hao mnaowalaumu.