Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

walijiandaa tangia miaka 100 iliyopita, step by step, its a play book ni kama hollywood movie yenye happy ending ambayo ndiyo sasa kwa upande wao at least wana happy end. sasa nini kifanyike? haiwezi kuwa rahisi kwani wametoka mbali mpaka kuja kufikia hapa walipofikia kwanza mlitambue hilo hamuwezi kwenda vitani na kushinda kama hata adui hamumjui na malengo yake nini, hivyo someni na jielimisheni khs historia ya nchi halafu mtaelewa tumefikaje hapa.

binafsi sishangai kwa maana niliyajua yote kuanzia kifo Nyerere, baadaye uweka hazina wa ccm, Mkapa akaja kuvuta then nikajua game over, hivyo kwanza tulieni na msiwe emotional i.e hasira wekeni pembeni mkiwa na hasira mtamalizwa wote kama kuku, tulieni na someni mchezo kisha mjipange, again ni lazima mmjue adui yenu ni nani na historia yake ...
Hadi Babu wa Mwitongo walimdedisha
 
Umenikumbusha WORKING CLASS MOVEMENT IN ENGLAND..

CHARTISM wali fail ku understand their TRUE ENEMY unajua kwa nini wali jua adui yao mkubwa ni industrial revolution (mashine)

Bagoshaa kushindwa KUMJUA TRUE ENEMY NI KUSHINDWA MAPAMBANO

word ...
 
Jiunge kwenye list ya members ambao mnatakiwa kukaa mbali na mazoea ya nje ya jf
Kama huyu hana madhara sana maana watawala wapo hatua nzuri ya kutafunana wao kwa wao na hata ambao wanaamini wapo safe ni suala la muda tu maana wakati wanaharakati na upinzani wananyooshwa wao walikaa kimya.
 
walijiandaa tangia miaka 100 iliyopita, step by step, its a play book ni kama hollywood movie yenye happy ending ambayo ndiyo sasa kwa upande wao at least wana happy end. sasa nini kifanyike? haiwezi kuwa rahisi kwani wametoka mbali mpaka kuja kufikia hapa walipofikia kwanza mlitambue hilo hamuwezi kwenda vitani na kushinda kama hata adui hamumjui na malengo yake nini, hivyo someni na jielimisheni khs historia ya nchi halafu mtaelewa tumefikaje hapa.

binafsi sishangai kwa maana niliyajua yote kuanzia kifo Nyerere, baadaye uweka hazina wa ccm, Mkapa akaja kuvuta then nikajua game over, hivyo kwanza tulieni na msiwe emotional i.e hasira wekeni pembeni mkiwa na hasira mtamalizwa wote kama kuku, tulieni na someni mchezo kisha mjipange, again ni lazima mmjue adui yenu ni nani na historia yake ...
Umeongea sehemu mantiki ni ngumu kuapply, je tu subiri miaka Mia mpaka wajukuu wetu waje wabadilishe? Tuache kujidanganya
 

Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani.

Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari.

Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi.

Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena.

Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.
 

Attachments

  • 1000024076.jpg
    1000024076.jpg
    45.1 KB · Views: 7
Back
Top Bottom