Nimekuwa nikimwona kama shetani kabisa. Hata wanawake japo huwa wanaroho mbaya ila linapo kuja swala la kuuwa watu, aisee huwa ni viumbe udhaifu sana. Lazima atachukuliwa na emotions tu.
Ila Huyu 🐸 kazidi kwa kweli, si kawaida hii. Au ndo laana aliyoisema jiwe inatutafuna?
Yaani with every revelation yeye ndo anazidi kufanya ufuksa, it's getting worse na tunakoelekea ni kubaya zaidi..
Kwa nini asiji achie tu na akimbie nchi? Tayari wameshakua na kutunyonya vya kutosha. Umri wenyewe umesha kwenda, kufa atakufa tu. Lakini hata wisdom ya kujua non of this shit is permanent, bali ni kuwaachia kizazi chako laana za watanzania tu.
Jamani, yaani ni navyo umia kisa hichi kiumbe, lolote limkute tu. Yaani she's more than a monster. Kila nikiangalia clip za mange, Heche, na Lissu. Huwa nashangaa ni kwa nini sis kama taifa hata tusiungane tukapiganie hii nchi? Kwa nini watu wachache wawe sadaka?
Aisee sijui watanzania wenzangu mnalionaje hili swala, ila ni hatari sana both kihisia na kisaikolojia kuona yanayotokea mbele ya macho yetu na kuwa sawa kuendelea kuishi kwa amani.
Labda kama tumerogwa au ni utamaduni Wetu to not care about anything.
Aisee, haya majitu haya!