Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Ccm ndiyo tatizo hapa, haina tena watu wa maana wa kuongoza, ile think tank yao haipo tena, wanaishia kutuletea viongozi tia maji tia maji na kufuga machawa tu
Ngozi ya kitimoto haiwezi kuwamba ngoma maana imeshikana na nyamaMambo mengi nchini hayaendi vizuri kabisa. Je, tatizo ni CCM au ni rais Samia?
System nzima jinsi ilivyo kuanzia chini mpaka juu yaan mwanzo mpaka mwisho si unaielewa vizuri sasa wewe unahisi tatizo ni system au tatizo ni mtu ndani ya system? Halafu haya maswali mboni MALCOM LUMUMBA anayoengelea vizuri tu kila akiandika hivi hua hamsomi?Karibu uchangie, topic ipo very clear.
Tangu lini ngozi ya kitimoto ikawamba ngoma eeeeh kama si muujiza ni nini, nipe maana ya neno kuwamba.Ngozi ya kitimoto haiwezi kuwamba ngoma maana imeshikana na nyama
Luka na Tlatlah wajibu hili swaliMambo mengi nchini hayaendi vizuri kabisa. Je, tatizo ni CCM au ni rais Samia?
Tuletee orodha ya hayo mambo yasiyoenda hapa Tanzania ili tukupe majibu ya nini/nani shida.Mambo mengi nchini hayaendi vizuri kabisa. Je, tatizo ni CCM au ni rais Samia?
Kuvuta na kukaza kitu (kama ngozi au kitambaa): Hii ndiyo maana halisi ya msingi. Ni kitendo cha kutandaza ngozi, kitambaa, au mkeka juu ya kitu kingine kisha kukaza au kukigongomea ili kikienee vizuri. Kwa mfano, "kuwamba ngoma" (kuweka na kukaza ngozi juu ya ngoma).Tangu lini ngozi ya kitimoto ikawamba ngoma eeeeh kama si muujiza ni nini, nipe maana ya neno kuwamba.
Matako yakoAmani ni nini
NDUGU Mtamzania mwenzetu jaribu kupunguza ukalli wa maneno ili tusifike huko unako kusudia kutufikishaView attachment 3620290
Ukiangalia mashehe uchwara aka mashehena kama Mwaipopo wanavyomwaga upupu bila kutiwa nguvuni, unagundua kuwa kumbe, chini ya Samia, tunaendeshwa na mfumo islamu. Mko wapi waislam ambao mmekuwa mkilalamikia mfumo kristo wakati anapoongoza mkristo? Je, huu ni urushi, unafiki, kujisahaulisha au upofu? Njooni hapa tuongelee mfumo islamu wakati huu wale mliozoea kushutumu mfumo kristo.'
Tufike wapi au una hoja yako fichi na ovu? Usiniwekee maneno tena ya uongo na uzushi mdomoni. Mbona hatukufika. mlipoleta dhana ya mfumo kristo au ni yale mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu? Kunyweni dawa yenu wenyewe.NDUGU Mtamzania mwenzetu jaribu kupunguza ukalli wa maneno ili tusifike huko unako kusudia kutufikisha
Kwahiyo tatizo ni nini? Unawaona Masheikh wanaoropoka lakini huwaoni Maaakofu akina Bagonza na Mapadre akina Kitima wakiharisha kabisa!View attachment 3620290
Ukiangalia mashehe uchwara aka mashehena kama Mwaipopo wanavyomwaga upupu bila kutiwa nguvuni, unagundua kuwa kumbe, chini ya Samia, tunaendeshwa na mfumo islamu. Mko wapi waislam ambao mmekuwa mkilalamikia mfumo kristo wakati anapoongoza mkristo? Je, huu ni urushi, unafiki, kujisahaulisha au upofu? Njooni hapa tuongelee mfumo islamu wakati huu wale mliozoea kushutumu mfumo kristo.'