Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Ukweli wala hatumsemi vibaya tunamsema ukweli, tuna kiongozi wa hovyo kuwahi kutokea.

Sijui waandamizi walifikiriaje kumpa mtu wa namna hii kuongoza, WTF!!
Kuna jambo la kuchekesha.

CCM kuna katabia kale kuonesha muonekano wa mtu na bila kujua historia yake.

Haya mambo ndio yanafanya taifa kuanguka.

Mfano kuiba chama pinzani ndio wanajua anaweza kuwa kiongozi.Leo mnashuudia ,je kwa nini CCM imeshindwa kuweka watu mahili mpaka wachukuwe kwa ongo ndio wawe viongozi wao.

jambo jengine ni kwamba waliojuu hakuna mwenye akili
 
Shida ni kuna watu watakuamini.

Mimi nina marafiki wapo kada tofauti tofauti za usalama na hakuna anayejuta kubababake.

Mnamkumbuka Tesha? Na story kwamba JWTZ lipo nyuma ya wananchi? Dafuq happened?

Mnajua kwamba kihistoria wapindua nchi ni polisi au wanajeshi? So hichi kinachosemwa kwenye uzi ili kilete maana ilibidi walalamishi wawe polisi au wanajeshi siyo TISS.
POLISI wapindue nchi!!
Historia ya nchi gani walipindua nchi polisi mkuu?
Kwamba na polisi wetu wakiamua wanapindua nchi?!
 
Hakuna kitu ambacho hapa usalama wanajilaumu tena tukiwa bar kama kukubari ikichama cha CCM kufikisha hapa.

Na CCM wapo wanajuta kwa nini walishindwa kujua huyu mtu kuwa raisi.

Sio vizuri kusema mengi ila wananchi ndio watasema wenyewe siku itafika.Mtamkuta kasha weka makazi yake mazuri na pesa zenu kaondoka nazo na madeni juu.

Hivi kuna kiongozi ambae aliwahi kupita akisifiwa wakati yuko madarakani
 
POLISI wapindue nchi!!
Historia ya nchi gani walipindua nchi polisi mkuu?
Kwamba na polisi wetu wakiamua wanapindua nchi?!
Kwakua umeniquote hapa na kunijibu inamaanisha una MB na device. Sasa anza google "police state" halafu malizia na nchi ngapi zimepinduliwa na polisi.
 
Mjinga anajibiwa kwa ujinga wake.Uwezi kumsaidia mjinga kwa ujinga wake
Bado hauna akili ya kujenga hoja na mimi. Ila nipo radhi kushuka na kuanza kuandika matusi kama wewe.
 
Mambo mengi nchini hayaendi vizuri kabisa. Je, tatizo ni CCM au ni rais Samia?
 
Mambo mengi nchini hayaendi vizuri kabisa. Je, tatizo ni CCM au ni rais Samia?
Tatizo lipo hapa
Screenshot_20260514-220817~2.png
 
Ukisema ccm, samuya anahusika

Na ukisema samuya, ccm pia wanahusika.

Conclusion ccm na samuya wote watimuliwe.
 
Back
Top Bottom