Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Wakuu msilalamike sana, kwani kitu gani kipya kinachizidi kuua watu zaidi ya 10000!? Haya mengine ni madogo, mtu aliyeweza kufanya hayo hawezi kushindwa kufanya kingine chochote l.
Huyu anaweza kufanya lolote. Ndiyo maana anamchagua Mwizi kwenda Mbinguni sehemu takat8fu 8ngawa mbinguni yenyewe kwa sasa imejaa mashetani
 
Huyo kachanganyikiwa ndio maana anakaa tu ndani atokee nje aje kwenye mitaa kama apigwi manati
 
Kilichonifanya nikakosa kumwamini ni baada ya kusoma mauaji aloyafanya kuanzia nuhu, kumpa daud nguvu za kumuua goliath,yule jamaa alokuwa nguvu kutokana na nyele zake, sodoma na gomora nakadhalika yote ni mungu alikuwa anaamuru yote kutokea lakini shetan yeye hajatajwa kufanya mauaji. Na huo mfumo viongozi ndio wanaoutumia wao si wanajiona miungu watu na upinzan ni mashetani. Ngoja nimalizie konyagi langu nakuja.
 
Inasikitisha sana
 
Mama Samia atakumbukwa kwa :
  • Mauaji yalitokea Oktoba 29
  • Wizi wa kura
  • Rushwa
  • Undungu
  • kutokutimiza wajibu wake
Mambo yaliyomshinda
  • Kuweka usalama hasa wa Polisi na sasa kuendeshwa na Polisi na usalama
  • Kuweka undugu mbele na kupendelea wanzanzibari na ndugu zake
  • Rushwa kiasi kwamba badala ya kuendeleza aliyoacha Magufuli ameshidwa
  • Maridhiano ya kisiasa
  • 4 Rs nazo zimeshidwa
  • Kapoteza imani ya viongozi wa dini kabakia na machawa wa Bakatwa pekee
  • Kulazimisha wanahabari kuunga mkono
  • Kubadilisha katiba
 
We jamaa unampenda sana huyo Samia…
 
Urais wake uliendeshw na masela wenye mipango yao ambayo mingi ni kuididimiza wa Tanganyika!

Believe me...kuna watanganyika wengi sana wahaini ambao mashauri yao yataendeshwa na taasisi huru ili wawe na kujitetea!

Hii ni nchi sio kijiji cha masela kujificha chini ya uongo wa tume na the likes..
KAtika nchi tano kubwa Africa Tz ipo...maslahi locally na internationaly hayawapi automacy mnaodhani mnayo...

Jela zinawahusu wengi sana..haswaa kwa mauaji ya watu wasio na hatia kwa ujinga wa madaraka ingawaje ni matajiri wezi wakubwa!
Less than ten years!
 
Mama Samia atakumbukwa kwa :
  • Mauaji yalitokea Oktoba 29
  • Wizi wa kura
  • Rushwa
  • Undungu
  • kutokutimiza wajibu wake
Mambo yaliyomshinda
  • Kuweka usalama hasa wa Polisi na sasa kuendeshwa na Polisi na usalama
  • Kuweka undugu mbele na kupendelea wanzanzibari na ndugu zake
  • Rushwa kiasi kwamba badala ya kuendeleza aliyoacha Magufuli ameshidwa
  • Maridhiano ya kisiasa
  • 4 Rs nazo zimeshidwa
  • Kapoteza imani ya viongozi wa dini kabakia na machawa wa Bakatwa pekee
  • Kulazimisha wanahabari kuunga mkono
  • Kubadilisha katiba
IMG-20260415-WA0001.jpg
 
Screenshot_20251201-222021~2.png
 
Sio kukatisha maisha ya wa Tanzania wengine, halafu hapo hapo kuweka uso wa mbuzi na kuchukua madaraka tena,,,, insult to us all.
 
Mama Samia atakumbukwa kwa :
  • Mauaji yalitokea Oktoba 29
  • Wizi wa kura
  • Rushwa
  • Undungu
  • kutokutimiza wajibu wake
Mambo yaliyomshinda
  • Kuweka usalama hasa wa Polisi na sasa kuendeshwa na Polisi na usalama
  • Kuweka undugu mbele na kupendelea wanzanzibari na ndugu zake
  • Rushwa kiasi kwamba badala ya kuendeleza aliyoacha Magufuli ameshidwa
  • Maridhiano ya kisiasa
  • 4 Rs nazo zimeshidwa
  • Kapoteza imani ya viongozi wa dini kabakia na machawa wa Bakatwa pekee
  • Kulazimisha wanahabari kuunga mkono
  • Kubadilisha katiba
Atakufa vibaya sana huyu Samia, ni laana kwa taifa letu pendwa.

Tha Mad Queen.
 
Back
Top Bottom