Malizia na mashoga machawa wake are there to stayNikukumbushe tena boss. Maji mengi kila siku, mazoezi kwa wingi, matunda pia usisahau. Ndizi parachichi nk.
Nb. Usitumie chumvi nyingi. Hii itakusaidia kupunguza swala kupanda kwa Pressure na sukari. Kwinginekoo.... Samia iz here to stay 2030 sio mbali. Vumilia
Huwezi kuwa tofauti na jumuia za kimataifa zikiwemo za Africa kama AU na SADC, huwezi kuwa tofauti na kamati ya haki za binadamu ya UN iliyoona kuwa kukamatwa na kesi ya Lissu ni kinyume na matakwa tamko la kimataifa kuhusu haki za kisiasa.Hilo la Mwijaku halihusiani na mada inayoendelea, tabia ile ile ya kipuuzi ya vijana wa Gen Z ya kuhamisha mada.
Haki inatendeka kila sehemu tatizo lenu akili mnaziweka kwenye mada hasi siku zote.
Huwezi kuwa tofauti na EU na wenye akili, kuwa na akili hizi za kutetea wauaji watekaji na wafiraji wa watanzania lazima uwe na akili za akina Mwijaku, KUPAKATWA
Mwisho mimi siyo kijana 1971 niko primary school, halaiki ya 1974 nilishiriki sisi tulicheza ngoma ya manyanda. Ila nina akili