Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Sasa silaha zimesaidia nini zaidi ya kuwaweka matatizoni waliotoa amri na kuzitumia kuua Watanzania wenzao kwa maelfu. Unafikiri ushahidi wake unafutika hata kwa jiki? Ni jinai na hiyo jinai huwa haifi😉 so kuwajibika kuko pale pale hata mkijizima data.
nchi zote duniani ikiwa ni pamoja na Tanzania,
zitaendelea kujizatiti kwa teknolojia ya ulinzi na silaha za kisasa ili kujilinda na kudhibiti uharamia, vitendo vya kigaidi na ulofa wa mamaluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ili hatimae wanainchi waewe salama na wenye amani wanapoendelea na shughuli zao za maendeleo.

Hakuna nchi duniani inanunua sila kwaajili ya kulinda panya au ngurue bali ni kuthibiti viendo haramu vya kihalifu ikiwa ni pamoja na magaidi wavuruga amani, waporaji, walipua vituo vya mafuta, waharibu miundominu na wale wote wenye tabia nonsense kama hizo.

waambie na malofa wenzako kuhusu hilo gentleman.
usiwafiche kitu :1Head:
 
Kuahirisha kufikiri kwa usahihi ni tatizo kubwa kuliko cancer. Sasa ona mnavyohangaika na tume yenu ya mchongo kujaribu kufunika funika ukweli ila kila shahidi anaishia kuwaumbua😂 mwisho mmeona ushahidi wa live hamuutaki.

Gentleman,
tume huru iko kazini na inafanya kazi zake vizuri sana kwa weledi na uwazi wa kiwango cha juu sana na hakuna mamaluki anaweza kuitatiza tume hiyo muhimu kutekeleza na kutimiza wajibu wake huo muhimu sana kwa maslahi mapana ya taifa.

ikiwa una ukweli wowote kuhusu lolote kueleza mbele ya tume hiyo huru, basi jitokeza kwa uhuru na uwazi mbele ya tume na ujieleze bila kumbwelambwela na porojo na huo uzushi ambao unadhani ni dila la kukupa public sympathy :1Head:
 
Naona giza mbele! Unarudishaje roho za maiti over 10,000 ( inavokadiriwa). IMPOSSIBLE! WHAT NEXT?

Shoot to kill was not a good option!
Yale yalikuwa machafuko yenye lengo la kuipindua serikali, huwezi kuipindua dola yenye miaka zaidi ya 60 halafu ikupokee kwa maua kwa kukuwekea zulia jekundu.

Shoot to kill ilifanyika Zanzibar 2001 Mkapa akaomba radhi kwenye kitabu alichoandika baada ya kustaafu.

Huyo huyo Mkapa alifanya unyama mwingine dhidi ya waislam kule Kigoma miaka ya 90 katikati.

Mwinyi akafanya unyama wa mwembechai, kuilinda dola huwa kazi ngumu sana kwa marais wetu.
 
Uvunjifu wa amani unaufanyaje ukiwa sebleni kwako au kwenye banda la mpira ukiwa unacheki game? Je, waliouliwa kwenye mazingira haya unawaelezeaje?
Machafuko (vita) huwa rahisi kuyaanzisha lakini ngumu kuyamaliza. Tuombe Mungu yale mauaji yasijirudie tena.

Pakichafuka anayeuwawa huwa hana kosa lolote.

Alishangaza sana Tundu Lissu kwa namna alivyoongelea hadharani kuhusiana na kukinukisha.

Kawaulize wale vilema kule DRC, Angola, Liberia na Sierra Leone kosa lao haswa ni lipi mpaka wakakatwa miguu baada ya kukanyaga mabomu.
 
Yale yalikuwa machafuko yenye lengo la kuipindua serikali, huwezi kuipindua dola yenye miaka zaidi ya 60 halafu ikupokee kwa maua kwa kukuwekea zulia jekundu.

Shoot to kill ilifanyika Zanzibar 2001 Mkapa akaomba radhi kwenye kitabu alichoandika baada ya kustaafu.

Huyo huyo Mkapa alifanya unyama mwingine dhidi ya waislam kule Kigoma miaka ya 90 katikati.

Mwinyi akafanya unyama wa mwembechai, kuilinda dola huwa kazi ngumu sana kwa marais wetu.
Nae waliouliwa wakiwa majumbani mwao nao vipi
 
nchi zote duniani ikiwa ni pamoja na Tanzania,
zitaendelea kujizatiti kwa teknolojia ya ulinzi na silaha za kisasa ili kujilinda na kudhibiti uharamia, vitendo vya kigaidi na ulofa wa mamaluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ili hatimae wanainchi waewe salama na wenye amani wanapoendelea na shughuli zao za maendeleo.

Hakuna nchi duniani inanunua sila kwaajili ya kulinda panya au ngurue bali ni kuthibiti viendo haramu vya kihalifu ikiwa ni pamoja na magaidi wavuruga amani, waporaji, walipua vituo vya mafuta, waharibu miundominu na wale wote wenye tabia nonsense kama hizo.

waambie na malofa wenzako kuhusu hilo gentleman.
usiwafiche kitu :1Head:
Hata magaidi,maharamia,wauaji,majambazi,watekaji ,hununua silaha kutekeleza uovu wao na kujilinda.
 
Na ukijulikana yatakukuta yaliyomkuta mlinzi wa watekaji na wafiraji wa wanaowateka Mafwele. Maana kabla hajaenda ICC kapewa dawa na colonel Augustine Polepole mzalendo HALISI, subirini mtaanza kufanya uchawa wenu kuishambulia ICC
Mwamba kwahiyo ushaamini stori za kutungwa na kusambazwa na wajanja wa mfumo?
Wajanja wamekuingiza chaka Fweleboy anawazum tu vile Ngoma yake inachezwa na mbumbumbu
 
nonsense kabisa,
na wewe jifanye lofa ukajaribu kujifanya gaidi anaedai haki ya kulipua vituo vya mafuta, kuchoma maduga na nyumba za wananchi, kupora fedha ATM au kuharibu miundombinu halafu upewe zawadi yako na uende nayo kwenu na kuwapatia wazazi wako huzuni.

lofa kweli wewe,
unadahani mataifa yananaunua silaha za kisasa kwaajili ya kupigia panya?
:1Head:
Huyu tayari manii ziko zimefika kwenye ubongo
 
Jf mnasubiri nini kufungia hii takataka? This platform shouldn't entertain any contributions which support deliberately the killing of our fellow citizens by using neither the umbrella of freedom of expression nor dare to speak openly slogan, please moderators! Huyu kima anavuka hadi mstari sasa na ndiyo hawa hawa walioifungia Jf. for more than fucking 90 days.

Kwa kweli watu wasio na akili timamu au wanafiki kupindukia kama huyo Tlaatlaah, walistahili kuondolewa kwenye jukwaa moja kwa moja, kwa sababu jukwaa hili ni maalum kwa wenye akili timamu.
 
bosi wako yuko kwenye majuto makuu, wewe mwenyewe njaa zako ndio zinakufanya umsifie usiku kucha.
Gentleman,
ni muhimu zaidi ukamsadia lofa mwezako alietoa hoja nonsense jukwaani, kuliko kumbwelambwela na mihemko useless jukwaani na kuwavunjia heshima wadau muhimu wa JF.

kaa kimya ikiwa huna pweint,
mihemko ni kitu useless sana ndugu mamaluki :1Head:
 
Back
Top Bottom