Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Na ukijulikana yatakukuta yaliyomkuta mlinzi wa watekaji na wafiraji wa wanaowateka Mafwele. Maana kabla hajaenda ICC kapewa dawa na colonel Augustine Polepole mzalendo HALISI, subirini mtaanza kufanya uchawa wenu kuishambulia ICC
mimi ni mTanzania huru na ninaejulikana bila kificho kwa mwananchi yeyote,
siishi kwa ramli na na imani za ushirikina wa kilofa kama huo gentleman :1Head:
 
Mama walimuingiza chaka aisee! Hata yeye mwenyewe kashajua, aliingizwa chaka. Inamletea kwere sio kidogo kwenye uongozi wake. Dizaini ni kama watu hawana shobo na uwepo wake. Afu kwa mwanamke sio poa, mwanamke anatakiwa ashobokewe. 😁
 
nonsense kabisa,
na wewe jifanye lofa ukajaribu kujifanya gaidi anaedai haki ya kulipua vituo vya mafuta, kuchoma maduga na nyumba za wananchi, kupora fedha ATM au kuharibu miundombinu halafu upewe zawadi yako na uende nayo kwenu na kuwapatia wazazi wako huzuni.

lofa kweli wewe,
unadahani mataifa yananaunua silaha za kisasa kwaajili ya kupigia panya?
:1Head:
Sasa silaha zimesaidia nini zaidi ya kuwaweka matatizoni waliotoa amri na kuzitumia kuua Watanzania wenzao kwa maelfu. Unafikiri ushahidi wake unafutika hata kwa jiki? Ni jinai na hiyo jinai huwa haifi😉 so kuwajibika kuko pale pale hata mkijizima data.
 
Mama walimuingiza chaka aisee! Hata yeye mwenyewe kashajua, aliingizwa chaka. Inamletea kwere sio kidogo kwenye uongozi wake. Dizaini ni kama watu hawana shobo na uwepo wake. Afu kwa mwanamke sio poa, mwanamke anatakiwa ashobokewe. 😁
Na hiki ndicho kikubwa kinachomuuma kupoteza mvuto mbele ya umma na hakuna anayemshobokea zaidi ya machawa tu
 
nonsense kabisa,
na wewe jifanye lofa ukajaribu kujifanya gaidi anaedai haki ya kulipua vituo vya mafuta, kuchoma maduga na nyumba za wananchi, kupora fedha ATM au kuharibu miundombinu halafu upewe zawadi yako na uende nayo kwenu na kuwapatia wazazi wako huzuni.

lofa kweli wewe,
unadahani mataifa yananaunua silaha za kisasa kwaajili ya kupigia panya?
:1Head:
Jf mnasubiri nini kufungia hii takataka? This platform shouldn't entertain any contributions which support deliberately the killing of our fellow citizens by using neither the umbrella of freedom of expression nor dare to speak openly slogan, please moderators! Huyu kima anavuka hadi mstari sasa na ndiyo hawa hawa walioifungia Jf. for more than fucking 90 days.
 
When the looting starts, the shooting starts

1771731870009.jpeg
 
Wake waliokuwa wanaiba, kuvinja mali, na kufanya uvunjifunwa amani?
Walikuwa wanatafuta Haki! Umemnyanganya shati lake, anakwambia nirudishie shati langu, unasema usivuruge Amani! Atatafita njia yoyote kupata haki yake.

Byeyombo...kelele
 
Naona giza mbele! Unarudishaje roho za maiti over 10,000 ( inavokadiriwa). IMPOSSIBLE! WHAT NEXT?

Shoot to kill was not a good option!
Nilimpa lifti Polisi mmoja kumbe alikuwa amelewa na akawa anatamba ni sisi tuliwaua ile tarehe 29 na tulipewa Amri tuue watu kutoka juu.
 
Jf mnasubiri nini kufungia hii takataka? This platform shouldn't entertain any contributions which support deliberately the killing of our fellow citizens by using neither the umbrella of freedom of expression nor dare to speak openly slogan, please moderators! Huyu kima anavuka hadi mstari sasa na ndiyo hawa hawa walioifungia Jf. for more than fucking 90 days.
Gentleman,
all terrorist with their barbaric actions must be eliminated on the face of the world immediately.
the world and countries must not tolerate nonsense acts of such kind of people.

go and tell your fellow terrorists and mercenaries:1Head:
 
Back
Top Bottom