Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Samia na serikali yake haikufanya siasa zaidi ya rushwa, utekaji na mauwaji pekee mpaka hivi sasa hawapo kwenye siasa
 
Wapo kusema idara za ulinzi na taasisi zote za serikali zisijiusishe na siasa.

Mjomba wenu nachoka mimi.
 
Ukiona MTU anakutawala zaidi ya miaka 60 ujue amekuzidi akili
Mmeuwa watu elfu 23 plus,unakibuli gani cha kuongea hivyo??,mmezika miili ya wapendwa wetu kama kuku waliokufa na kideli,bado mkawanyima watu kuzika miili ya wapendwa wao,mkapola uchaguzi,bado mnateka,mnabaka,mnalawiti,mnafira na mnauwa,hivi nyinyi ni wanyama au majini??Kuna kila namna na kila hali kutamka kwamba CCM sio political party, CCM ni terrorist organization, dunia kianzia sasa inatakiwa iiwekwe kwenye list ya terrorist organization.
 
Samia na serikali yake haikufanya siasa zaidi ya rushwa, utekaji na mauwaji pekee mpaka hivi sasa hawapo kwenye siasa

Yeye anawaza kutupiga tu na mwanae Abdul, wanaibia watanzania wanaenda kununua Rolls Royce, na kuhakikisha RASIMALI za watanganyika wanaziuza kwa waarabu

Tangu Tanganyika ipate uhuru haijawahi kutokea Mkuu wa Kitengo ni Bilionea wa kutupwa kama huyu tuliyenaye Sasa hadi watoto wake wanamiliki vibunda vya dolari wakati sisi wasakatonge tunahangaishwa na kubeti kama Ajira rasmi bila betting Maisha hayasongi
 
Samia na serikali yake haikufanya siasa zaidi ya rushwa, utekaji na mauwaji pekee mpaka hivi sasa hawapo kwenye siasa

Yeye anawaza kutupiga tu na mwanae Abdul, wanaibia watanzania wanaenda kununua Rolls Royce, na kuhakikisha RASIMALI za watanganyika wanaziuza kwa waarabu

Tangu Tanganyika ipate uhuru haijawahi kutokea Mkuu wa Kitengo ni Bilionea wa kutupwa kama huyu tuliyenaye Sasa hadi watoto wake wanamiliki vibunda vya dolari wakati sisi wasakatonge tunahangaishwa na kubeti kama Ajira rasmi bila betting Maisha hayasknh
 
Ukiona MTU anakutawala zaidi ya miaka 60 ujue amekuzidi akili
There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.
Ccm is the ruling party of Tanzania government under Samia Suluhu hassan
 
Back
Top Bottom