useyourcommonsensetothink
Member
- Nov 5, 2025
- 89
- 165
mmoja wa wazee wa ovyo kabisa kuwai kuwa nao katika nchi yetu.Kutokana na ushawishi na uzoefu wake kimataifa raisi mstaafu sasa anafanya kila mbinu ili kumuokoa samia na hayo mauaji makubwa aliyofanya kwa watanzania, hivyo raisi mstaafu anahangaika kwa kuwa jumba bovu samia likishaanguka nae hatokua salama.
Inasemekana raisi mstaafu sasa anahaha kumuokoa huyo mama kwa kila namna, inasemekana kwa sasa anafanya vikao lukuki kuongea na wawakilishi wa nchi nyingi kuona namna ya kumuondoa huyo samia kwenye mambo atakayopaswa kuwajibika kwa mauaji ya maelfu ya vijana wa kitanzania.
Mzee wa msoga anahaha kumuondoa samia kwenye kesi zinazoenda kumkabili kimataifa ikiwemo kesi za International Criminal Court - ICC, mikopo kimataifa n.k
Ila inasemekana hao wazungu wamekataa kumsafisha sababu wanasema mauaji aliyofanya samia endapo yatafumbiwa macho basi Kuna uwezekano mauaji ya aina hiyo yakasambaa Dunia nzima kwa kufanywa na viongozi wengine wenye akili za kipumbavu kama alivyo samia kwa uchu wa madaraka na ufisadi.
Wazungu wamekataa na wamemuonya Mzee wa msoga aache kutumia rasilimali za nchi hovyo ili kumuokoa huyo samia na wamemshauri kwamba inabidi samia awajibike kwa makosa yake,
Pia inasemekana hiyo imekua ni kawaida ya raisi mstaafu kuweka rehani rasilimali za nchi kwa wageni ili kukwepa kuwajibika kimataifa anapofanya makosa mfano ni ishu ya madawa ya kulevya kwa mwanafamilia wake na taifa la china.