Nyanje
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 1,861
- 2,388
Anasahau kwamba Muda umekwisha....Baada ya wananchi kumkataa na kisha ulaya sasa ni zamu ya USA kumkataa aendelee kujifanya yeye ndio yeye ujeuri hauna gharama na sisi tuna nunua
Atakimbia mwenyewe hatutokubali lazima tumuondoe
Bora wakukate woote lakini si US. Ni kiongozi asiyejitqmbua anaweza juwekqnligi na Marekani.Baada ya wananchi kumkataa na kisha ulaya sasa ni zamu ya USA kumkataa aendelee kujifanya yeye ndio yeye ujeuri hauna gharama na sisi tuna nunua
Atakimbia mwenyewe hatutokubali lazima tumuondoe
Huyu mama hafaiView attachment 3511465
zaidi ya noma ndugu
Inaonekana walizoea kufanya unyama gizani kwa Siri sasa yote yapo hadharani na kwenye mwanga. Tanzania imeingia doa kubwa ambalo halitaweza kufutika.View attachment 3511465
zaidi ya noma ndugu
mwenyezi Mungu siku zote anafichua yaliyo sirini hakika amesikiliza maombi yetu tunaendelea kumtukuza soon tutaona kwa macho yetu uwepo wake damu zote zisizo na hatia ni mali ya Mungu.Inaonekana walizoea kufanya unyama gizani kwa Siri sasa yote yapo hadharani na kwenye mwanga. Tanzania imeingia doa kubwa ambalo halitaweza kufutika.
Uwajibikaji ni lazima halitapia hivi hivi.
Hebu japo weka ushahidi wa taarifa yako hapa. Aidha kwa video au kwa image.Kutokana na ushawishi na uzoefu wake kimataifa raisi mstaafu sasa anafanya kila mbinu ili kumuokoa samia na hayo mauaji makubwa aliyofanya kwa watanzania, hivyo raisi mstaafu anahangaika kwa kuwa jumba bovu samia likishaanguka nae hatokua salama.
Inasemekana raisi mstaafu sasa anahaha kumuokoa huyo mama kwa kila namna, inasemekana kwa sasa anafanya vikao lukuki kuongea na wawakilishi wa nchi nyingi kuona namna ya kumuondoa huyo samia kwenye mambo atakayopaswa kuwajibika kwa mauaji ya maelfu ya vijana wa kitanzania.
Mzee wa msoga anahaha kumuondoa samia kwenye kesi zinazoenda kumkabili kimataifa ikiwemo kesi za International Criminal Court - ICC, mikopo kimataifa n.k
Ila inasemekana hao wazungu wamekataa kumsafisha sababu wanasema mauaji aliyofanya samia endapo yatafumbiwa macho basi Kuna uwezekano mauaji ya aina hiyo yakasambaa Dunia nzima kwa kufanywa na viongozi wengine wenye akili za kipumbavu kama alivyo samia kwa uchu wa madaraka na ufisadi.
Wazungu wamekataa na wamemuonya Mzee wa msoga aache kutumia rasilimali za nchi hovyo ili kumuokoa huyo samia na wamemshauri kwamba inabidi samia awajibike kwa makosa yake,
Pia inasemekana hiyo imekua ni kawaida ya raisi mstaafu kuweka rehani rasilimali za nchi kwa wageni ili kukwepa kuwajibika kimataifa anapofanya makosa mfano ni ishu ya madawa ya kulevya kwa mwanafamilia wake na taifa la china.
Sio kila mda unatakiwa kuweka ushahidi.Hebu japo weka ushahidi wa taarifa yako hapa. Aidha kwa video au kwa image.
Hii ya kukaa na kuandika fikra zako na kufanya uzi tuusome bila ushaidi ni kutupotezea muda. Weka japo kapicha anakoongea na hao viongozi wa nchi za nje
Basi hizo ni pumba tu na tunazipuuzaSio kila mda unatakiwa kuweka ushahidi.
Unatakiwa kujua ukifika wakati sahihi tutaweka ushahidi zaidi ya huu unaoutaka wewe Sasa.
Huo mbuyu unaofuga mashetani yananyonya nchi ukianguka ndio nchi itapumuaNtu ya dili
Kwa kua hujui mchele ni upi hivyo hata pumba huwezi kuzijua.Basi hizo ni pumba tu na tunazipuuza
Wewe nawe KILAZA. Jk ana mapicha lukuki zinazomuonesha ajifanya vikao na wazungu, unaweza ukawekewa hapa lkn ilikuwa kwenye muktadha tofauti. So picha pekee sio ndio ushahidi wa kujitosheleza.Hebu japo weka ushahidi wa taarifa yako hapa. Aidha kwa video au kwa image.
Hii ya kukaa na kuandika fikra zako na kufanya uzi tuusome bila ushaidi ni kutupotezea muda. Weka japo kapicha anakoongea na hao viongozi wa nchi za nje
SIyo kila kitu unaweza kuweka ushahidi.Basi hizo ni pumba tu na tunazipuuza
Mswahili siku zote ni mswahili tu na ndiyo aliyetuharibia inchi huyu mzeeKutokana na ushawishi na uzoefu wake kimataifa raisi mstaafu sasa anafanya kila mbinu ili kumuokoa samia na hayo mauaji makubwa aliyofanya kwa watanzania, hivyo raisi mstaafu anahangaika kwa kuwa jumba bovu samia likishaanguka nae hatokua salama.