The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,360
- 6,922
May all souls find enlightenment,
Tukiacha chuki na ushabiki, watu mashuhuri na viongozi mbalinbali wa kimataifa wamekua wakikumbukwa kwa kauli zao aidha za busara, weledi au zinazoakusi maarifa yao.(zinaitwa quotes)
Kuna quotes za kina Mandela, quotes za kina Obama, Nyerere, quotes za kina Magufuli, Samora, watu mashuhuri kama Mirium Odemba, quotes za Flaviana Matata n.k
Sasa binafsi kuna mwanamuzuki wa Malawi Kila akiongea sipati reflection ya nasaha za kulink na dondoo za weledi na maarifa au pengine ni mimi tu ndio simuelewi. Hebu tukumbushane baadhi ya quotes zake kama umepata nafasi ya kuzisikia.
Mimi nakumbuka kauli ya "kutoa mamba pembeni ..........." Kila nikiikumbuka au nikiisikia haiachi kunichanganya na kunishangaza kwa wakati Moja.
Je wewe unakumbuka kauli ipi ?