Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

KAHABA NA WAHUNI WENZIE ATOBOI
 
Attachments

  • SnapInsta.to_AQNrmDAzdcvqdMs7jVnC5T867wkMihy4L4zJLYpNbICjWYRfzzbw7jcElnxB9dtQ_ciHHCDiEkOsiWFyk...mp4
    8.9 MB
Screenshot_20251120-220343~2.png
 
Najua hii kitu wengi hawaijui,ukweli halisi ni kwamba mama kuingia madarakani kabla ya uchakafuzi wa kuiba kura kuna ushirikina mkubwa sana ambao ulifanyika ili kuwapumbaza wanainchi,huu ni uchawi amabo Marais wengi wa Afrika wanao na viongozi wa kawaida ambao wao huweka uchawi mbele badala ya uwajibikaji kwa wanaowatawala
Sasa mama aliaminishwa au ameaminishwa kwamba amewaweka kiganjani Watanzania inawezekana kweli kuna watu wamewekwa kiganjani sababu unashanga kutokana na haya madudu lakini bado wanaendelea kumtetea,kiuhalisi kujiamini kwake kwa hizi nguvu za giza zisizokuwa na uhalisia wowote ndizo zinazoenda kumuharibia,sisi wenyewe wenye macho matatu tumeshaangalia tumeona mama haendi kutoboa
Hilo jicho la tatu liko sehemu gani ya mwili wako?
 
Ma

Mambo ya binti Msumi hayo.
 
Ulichosema ni kweli,lakini sio hivyo!!

Hakua yeye was kupeperusha bendera,alilazimisha na kafara lake likawa kubwa sana na inasemekana kafara ya damu ya mo 29 haikutosha Kwa waliompa cheo hicho manyonya damu!ndio maana unashangaa eti madokta waliambiwa waache kutibu majeruhi wapelekwe mochwari!SIo kitu Cha kawaida hicho!!

Bado bado falme zote za Dunia zinaamriwa ardhi ya kwanza hapo akhera kuzimu ndipo wanapoenda kina mwamposa na viongozi wengine wengi kupatanishwa na hao viumbe ili wapate Wanacho kitaka!!
 
Tutapata shida kama nchi kwasababu ya Mama Samia! tamaa za madaraka. Ni Raisi gani ambaye kwasasa anataka kujiweka karibu na Raisi Samia? Hii itapunguza uwekezaji na ushirikiano wa kimaendeleo. Haya yote ni kwasababu tu ya dhuluma, ufisadi na tamaa za Mama Samia na genge lake la mafisadi kama Kikwete na marafiki zao. Watanzania wengi hasa vijana 70% ya watanzania wanataka HAKI , Katiba bora na chaguzi za wazi na haki na hakuna kitu kitazuia hilo maana miaka mitano ijayo watakuwa 80%. Sasa jamani huwezi kutawala nchi kwa matakwa ya asilimia 15%. Itafika wakati hata majirani watahusika kututoa
 
Hili andiko japo la mda sana nililichulia poa , ila nimeaza kuona Mungu kweli amewekeza kwa watu wake
 
Kama wewe unampenda kweli Raisi Samia mshauri aondoke tu! asipo ondoka hao hao wana mtandao watamuondoa kwa njia nyingine ambayo sio nzuri na tusishangae kuwa mwendazake. Popepole ndiyo maana wana mtandao wamemzuia kwasababu alisha mwonya Mama asiwaamini hawa kama walivyo muondoa Magu watamuondoa Mama. Kulinda uhai wake aondoke sasa!
 
Back
Top Bottom