Hivi heshima unapewa na mtu au heshima unaileta wewe mwenyewe..? suppose uko na nguo nzuri za heshima halafu unavaa malapu lapu unakwenda sokoni..ukichekwa kuna mtu atafanya kukuletea heshima zaidi ya wewe kuvaa nguo nzuri ulizo nazo??Mafwele huwadhalilisha sana, katiba mpya ni muhimu ili iwape jwtz heshima yao kama mataifa mengine jeshi la Ulinzi huheshimika sana
..merits!Kuna asiyejua kama tuna jeshi dhaifu????
Unadhani solution ni nini kwenye situation kama hiyo?
Si unajua kijiweni kuna za kweli na za uongo, kikubwa masaa yaende. Ila nimeona kama IGP na vijana wake wana nguvu kuliko JWTZ hivi ni kweli ? Maana ni ajbu sana, hadi JWTZ kufanya mazoezi na Askari Polisi.. kama IGP kawa juu flani au mawenge yetu tuAchana na story za vijiweni. Uliza waliopo ndani
Jwtz wameshindwa kutimiza kiapo chao cha kulinda mipaka yetu ndio maana majeshi toka Uganda yaliweza kuingia nchini na kuwaua vijana wetu kwa amri ya Samia!! Vijana wa JWTZ hawana budi kulinda heshima ya nchi yetu; hao wazee wamelambishwa asali, wakina Nkunda hawawezi kulinda kiapo chao tena!PSU ni nini MKUU?? bado uko dunia ya miaka ya 80 hakuna kitu kama hicho nyakati hizi JIUPDATE.
By the way unaowaona mafala ndo wameibeba hii nchi mpaka sasa vinginevyo mlikua mnasaga meno
No..!Katiba mbovu mbaya isiyowalinda jwtz ndiyo imepelekea kuwa wanadhalilishwa sana
Hapana..! Lini kulikuwa na katiba nzuri hadi walipoanza kudhalilishwa..Katiba mbovu inawadhalilisha
Mkuu , nimefurahi kukuona jukwaani baada ya kitambo kirefu.Jwtz wameshindwa kutimiza kiapo chao cha kulinda mipaka yetu ndio maana majeshi toka Uganda yaliweza kuingia nchini na kuwaua vijana wetu kwa amri ya Samia!! Vijana wa JWTZ hawana budi kulinda heshima ya nchi yetu; hao wazee wamelambishwa asali, wakina Nkunda hawawezi kulinda kiapo chao tena!
Father watu kama ninyi sijui Hadi tuseme tukiwa uchi au tunatomber makaa ya moto ndo muelewe na kusikia!Kwanini jeshi linadhalilishwa hivi awamu hii?Kwanini imefikia hatua hadi polisi anaweza mdhalilisha mwanajeshi hadharani?
Huyu haji Omar kheri nae ni wa kuambatana na Rais kweli?Baada ya tuhuma nzito vile?
Sasa Samia hauna imani namna hii na magenerali mpaka unawapitishia walinzi nyuma na mbele ulifuata nini huko jeshini?
Hawa kina mapete wanakudanganya, PSU haina uwezi wa kudhibiti jeshi hata kama wanajeshi hawana silaha, hizo hizo silaha watu wako wa PSU wanaingia nazo Jeshi kama wanajeshi wangekuwa wanakutaka zingetumika dhidi yako
Uwezi kuongoza nchi kwa silaha mpaka majeshi namna hii unaingia umechanganyikiwa unaweka jeshi chini ya ulinzi wa wahuni hao?
Hivi JWTZ mtadhalilishwa hivi mpaka lini? Kwamba mnaweza linda mpaka ya nchi, mna ndege na vifaru halafu eti Samia ana imani nanyie hapo kambini Monduli anakuja na watoto wadogo kweye masuala ya ulinzi kuwatisheni namna hii?
Mna kazi gani sasa kama yeye anaona PSU inaweza mlinda kuliko nyie ? Kwamba JESHI lina uwezo mdogo hivi tunavyoonyeshwa hapo ? Kwa nyie ni kama waharifu wengine tu hapo kambili mnafanyiwa mambo ya ajabu ajabu namna hii?
Huyu hana imani na nyie sababu ameua ndugu zenu, sasa mwambieni amuwezi kufanya naye kaziView attachment 3505904View attachment 3505905View attachment 3505906View attachment 3505907View attachment 3505908
The pleasure is mine too! I cannot keep quiet when my country is bleeding.Mkuu , nimefurahi kukuona jukwaani baada ya kitambo kirefu.
hebu acha kuitajataja TEC aisee, kuwa na adabuKwan ulitaka wasiambatane wakiwa wamejihami ili ufanye nini mbugila wa TEC wewe?
halafu mlishasema hamumtaki halafu unajikomba eti samia samia...
Zamani tulipokuwa tunakua baada ya Nyerere kulifumua Jeshi, askari polisi walikuwa hawafanyi fyoko mbele ya askari Jeshi!!! Toka huyu mama aingie madarakani amejaribu kuwafanya polisi ndio weneye nguvu kuliko askari wa JWTZ kwa makusudi ; na matokeo yake ndio hao wakina Mafwele!!!Father watu kama ninyi sijui Hadi tuseme tukiwa uchi au tunatomber makaa ya moto ndo muelewe na kusikia!
Hapa Kila mara tunasema kuwa hili jeshi lipo Kwa ajiri ya kulinda watawala na posho na hili limejidhihirisha wazi MO29.
Sijui Hadi tutumie Lugha Gani uelewe. Jeshi limeshuhudia Kwa macho Yao raia wakiuliwa mchna na usiku wakiona bila kusimuliwa na siraha wanazo halafu eti Bado unajipa tumaini jeshi jeshi jeshi ..... watanzania tunaujinga wa milele.
Akileta za kuleta TEC watamtekenya!hebu acha kuitajataja TEC aisee, kuwa na adabu
Father uko sahihi. Imagine mjeda anatekwa na mafwele!!Zamani tulipokuwa tunakua baada ya Nyerere kulifumua Jeshi, askari polisi walikuwa hawafanyi fyoko mbele ya askari Jeshi!!! Toka huyu mama aingie madarakani amejaribu kuwafanya polisi ndio weneye nguvu kuliko askari wa JWTZ kwa makusudi ; na matokeo yake ndio hao wakina Mafwele!!!
| 2014 | 2015 | 2016 | 2017 | 2018 | 2019 | 2020 | 2021 | 2022 | 2023 | 2024 |
| Defence Spending (USD Billion) | 0.5033 | 0.5618 | 0.5447 | 0.5395 | 0.5999 | 0.6127 | 0.6953 | 0.7712 | 0.8803 | 0.9323 | 0.9598 |
| GDP (Billion USD) | 49.98 | 47.42 | 49.77 | 54.00 | 54.78 | 58.80 | 63.37 | 67.96 | 74.17 | 79.14 | 80.17 |
| Defence Spending as % of GDP | 1.01% | 1.18% | 1.09% | 1.00% | 1.10% | 1.04% | 1.10% | 1.13% | 1.19% | 1.18% | 1.20% |
Indeed! may justice be our shield and defender.The pleasure is mine too! I cannot keep quiet when my country is bleeding.
TEC ndio mdudu gani acha kutishia watuhebu acha kuitajataja TEC aisee, kuwa na adabu