Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Kivyovyote vile itakavyokuwa nijuavyo mimi Mungu yupo na atalipa kwa wakati!, tena mmoja baada ya mwingine watafikiwa tu!, tuupe mda utaongea.
 
Amani ni bora kuliko misaada mwambieni mtuhumiwa wa uhaini matarajiwa alinde amani asiwasumbue ulaya na waarabu
 
Rais ni mfanya kazi za ndani wa muda na sio mmiliki wa nchi hii, samia na genge lake wanajaribu kutaka kuiteka nchi kwa mauwaji na utekaji wa raia.

Lazima ujiulize kwanini wanateka na kuuwa watu na kukamata watu hovyo hovyo. Hatutaki kumilikiwa sisi ni watu huru.

vyama vya siasa sijui watu wapumbavu kama hawa mnawaokota wapi mwisho wa siku wakishika madaraka wanabadilika wanataka kukwapua nchi iwe mali yao huwa mnawaokota wapi maana ndio chanzo cha mauwaji na utekaji.
 
Naona giza mbele! Unarudishaje roho za maiti over 10,000 ( inavokadiriwa). IMPOSSIBLE! WHAT NEXT?

Shoot to kill was not a good option!
nonsense kabisa,
na wewe jifanye lofa ukajaribu kujifanya gaidi anaedai haki ya kulipua vituo vya mafuta, kuchoma maduga na nyumba za wananchi, kupora fedha ATM au kuharibu miundombinu halafu upewe zawadi yako na uende nayo kwenu na kuwapatia wazazi wako huzuni.

lofa kweli wewe,
unadahani mataifa yananaunua silaha za kisasa kwaajili ya kupigia panya?
:1Head:
 
Na ukijulikana yatakukuta yaliyomkuta mlinzi wa watekaji na wafiraji wa wanaowateka Mafwele. Maana kabla hajaenda ICC kapewa dawa na colonel Augustine Polepole mzalendo HALISI, subirini mtaanza kufanya uchawa wenu kuishambulia ICC
 
Back
Top Bottom