pilato93
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 7,939
- 9,687
😞Sasa silaha zimesaidia nini zaidi ya kuwaweka matatizoni waliotoa amri na kuzitumia kuua Watanzania wenzao kwa maelfu. Unafikiri ushahidi wake unafutika hata kwa jiki? Ni jinai na hiyo jinai huwa haifi😉 so kuwajibika kuko pale pale hata mkijizima data.