CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Kama alivyo Rais muuaji mnakwepa suala la watu waliouliwa majumbani nje kabisa ya maeneo yaliyotokea vurugu. Mnaonyesha kujali zaidi mali kuliko kuliko uhai wa binadamu. Watutsi mna roho mbaya sana lPointi ya msingi ni ukweli kwamba walioanzisha zile vurugu hawakujua madhara yake yatakuwa vipi.
Ukisema watu waliuwawa bila hatia, unakuja ukweli kwamba tarehe 9 na 25 Desemba hakuandamana mtu hata mmoja na hakupigwa risasi mtu yoyote yule.
Ile siku ilikuwa mbaya sana imetia doa historia ya Tanzania. Yale mateso waliyopata wasio na hatia yoyote ndio maisha ya kawaida huko DRC na Somalia.
Kukinukisha balaa lake linawatesa wasio na hatia. Huwezi kuitoa dola madarakani kwa kutumia siasa za vurugu.
akini wakati waja na hauko mbali mtatafuta wenyewe njia ya kurudi kwenu.
