Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Hamna ubaya mbona kama ni Abdul mambo yako sawa tu!! Wafanyakazi wa Serikali wanalipwa mishahara, miundombinu inajengwa ma nchi iko kwenye utulivu.

Watalii wanamiminika, uchumi umapaa, wagonjwa wanapata dawa hispitali n maisha yanawndelea.

Sioni ubaya wa Abdul
Kmmk!
 
Maandamano ya George Floyd huwezi kulinganisha na huu uhuni wa tarehe 29 October, bila hata kufikiria madhara ya mlichofanya mkataka tena muingie mitaani tarehe 9 na 25 Desemba!.

Marekani sio mara ya kwanza kufanyika maandamano, na huwa kweli ni maandamano haziwi fujo za vibaka wenye nia ya kuvunja maduka ya watu na kuiba bia kwenye bar za Tabata!.
Wewe mse.. maandamano ya black lives matter mali ziliharibiwa na vurugu zilitokea ila askari wenye weledi walitumia hekima kuyazima, maana kule hata askari wanashambuliwa ila wewe unatumia kinyeo kufikiria tutegemee nini kwa machawa nyie? Akina Mwijaku wanapakatwa mtapata wapi akili? Akina mama wajawazito wameuawa, waliokuwa nyumbani wameuawa. Kwa nini msitumie rubber bullets? Water Cannon?

Dhamira ni kuua na ndio maana ICC wameleta wachunguzi kuhusu mauaji ya kimbari

Haya kwa nini mnateka, mnaua, mnapoteza na kuwafira mnaowateka? Au kwa sababu machawa wao wanawafanyia? Mna laana nyie
 
Punguza sukari boss. Jibu hoja acha matusi.
Nb.
Usisahau kunywa maji mengi na balanced Diet. Itakuepusha na presha na sukari
Hoja nimekujibu au kama hupendi jibu langu, pia sikutukani nakuambia jinsi machawa mlivyo. Huwezi kuwa mwanaume rijali kamili ukawa chawa wa wauaji, lazima ufumuliwe
 
Wewe mse.. maandamano ya black lives matter mali ziliharibiwa na vurugu zilitokea ila askari wenye weledi walitumia hekima kuyazima, maana kule hata askari wanashambuliwa ila wewe unatumia kinyeo kufikiria tutegemee nini kwa machawa nyie? Akina Mwijaku wanapakatwa mtapata wapi akili? Akina mama wajawazito wameuawa, waliokuwa nyumbani wameuawa. Kwa nini msitumie rubber bullets? Water Cannon?

Dhamira ni kuua na ndio maana ICC wameleta wachunguzi kuhusu mauaji ya kimbari

Haya kwa nini mnateka, mnaua, mnapoteza na kuwafira mnaowateka? Au kwa sababu machawa wao wanawafanyia? Mna laana nyie
Yale hawakuwa maandamano yalikuwa machafuko sawa na kile kilichotokea Sri Lanka na Madagascar.

Jiulize kwanini wale vijana walipewa kesi za uhaini badala ya kesi nyinginezo.

Serikali ilipambana na jaribio la kupindua mapinduzi, usalama ungechelewa kidogo tu tungekuwa tunaongea mengine.

Haya malalamiko na vilio vya kudai msaada wa ICC yasingesikika iwapo vijana wale wangefika ikulu na kutangaza serikali mpya.
 
Source yake ni nini?
Wizi wa kura
Uporaji wa mchakato wa uchaguzi
Tume kumpendelea Samia na CCM yake
Sheria mbovu za uchaguzi
Kumzuia kugombea kiongozi wa chama kikuu cha upinzani kugombea kwa kumfungulia kesi ya mchongo ya uhaini ambayo hata hukumu ya kutoka UN inasema kesi ni batili.
Kumzuia Luhaga Mpina kugombea.

Je kiongozi batili aliyeiba uchaguzi ni kukosa kuandamana ili kumtoa?
 
Kukinukisha ni kosa la uhaini, kutaka kupindua nchi ni kesi nzito mnajidanganya humu JF kwamba kesi ya mchongo ushahidi upo mwingi tu.

Usione watu hawaongei, wanao ushahidi wa ushenzi alioufanya huyo TAL.

Uibe kura kwa sababu zipi wakati kazi zinafanyika kila kona ya nchi?. Hivi tunavyoongea waziri mkuu Mwigulu yupo Arusha anatatua shida za wananchi.

Sheria mbovu wakati ni hizo hizo vyama 16 vimekubaliana nazo?. Mpo vizuri kwenye propaganda za kwenye media lakini hamna ubavu wa kuweza kuitoa CCM madarakani.
 
Hoja nimekujibu au kama hupendi jibu langu, pia sikutukani nakuambia jinsi machawa mlivyo. Huwezi kuwa mwanaume rijali kamili ukawa chawa wa wauaji, lazima ufumuliwe
Kuepuka sukari na kumuita kila aliye na wazo tofauti nawe kimawazo kwamba ni chawa. Fanya hivi
Fanya mazoezi,
Epuka vyakula vya mafuta mengi,
Punguza matumizi makubwa ya suk8i
 
Wewe juha mpumbavu chawa, hauko tofauti na mimi tu bali na mamilioni ya watanzania wanaofanyiwa madhila na utawala huu dhalimu wa Idi Amin mama.

Mwenye akili timamu lazima ataumizwa na huu utawala, angalia hata kamati ya kazi ya UN kwenye ruling yao kuhusu kesi ya mchongo ya Lissu wamesemaje?

Hivi chawa wewe katika maelfu ya watanganyika waliouliwa hakuna ndugu yako au jamaa au jirani yako?

Mko machawa wachache hata hapa jukwaani ambao unaweza kuwahesabu. Nakupa code ya machawa, WANAPAKATWA fuatilia akina Mwijaku.
 
Kukinukisha ni kosa la uhaini, kutaka kupindua nchi ni kesi nzito mnajidanganya humu JF kwamba kesi ya mchongo ushahidi upo mwingi tu.

Usione watu hawaongei, wanao ushahidi wa ushenzi alioufanya huyo TAL.

Uibe kura kwa sababu zipi wakati kazi zinafanyika kila kona ya nchi?. Hivi tunavyoongea waziri mkuu Mwigulu yupo Arusha anatatua shida za wananchi.

Sheria mbovu wakati ni hizo hizo vyama 16 vimekubaliana nazo?. Mpo vizuri kwenye propaganda za kwenye media lakini hamna ubavu wa kuweza kuitoa CCM madarakani.
Hiyo sheria ya kukinukisha mnayo nyie machawa wa Chimwaga na Lumumba. Kama mahakamani wanashindwa kuitaja hiyo sheria ya kukinukisha wewe umeipata wapi?

Umesikia ruling ya kamati ya haki za binadamu ya UN kuhusu kesi ya Lissu? Angalia DPP anavyohangaika mahakamani? Ni wapumbavu wachache machawa mnaoimba kwa kukaririshwa kuwa kukinusha ni Kosa la uhaini, dunia ya wastaarabu haikubali.

Bado nakupa code, machawa wengi wanapakatwa fuatilia akina Mwijaku
 
Wewe juha mpumbavu chawa, hauko tofauti na mimi tu bali na mamilioni ya watanzania wanaofanyiwa madhila na utawala huu dhalimu wa Idi Amin mama.

Mwenye akili timamu lazima ataumizwa na huu utawala, angalia hata kamati ya kazi ya UN kwenye ruling yao kuhusu kesi ya mchongo ya Lissu wamesemaje?

Hivi chawa wewe katika maelfu ya watanganyika waliouliwa hakuna ndugu yako au jamaa au jirani yako?

Mko machawa wachache hata hapa jukwaani ambao unaweza kuwahesabu. Nakupa code ya machawa, WANAPAKATWA fuatilia akina Mwijaku.
Usisahau kunywa maji mengi baada ya kula mko kamili. Itakusaidia kuepuka sukari na presha.
 
Hiyo sheria ya kukinukisha mnayo nyie machawa wa Chimwaga na Lumumba. Kama mahakamani wanashindwa kuitaja hiyo sheria ya kukinukisha wewe umeipata wapi?

Umesikia ruling ya kamati ya haki za binadamu ya UN kuhusu kesi ya Lissu? Angalia DPP anavyohangaika mahakamani? Ni wapumbavu wachache machawa mnaoimba kwa kukaririshwa kuwa kukinusha ni Kosa la uhaini, dunia ya wastaarabu haikubali.

Bado nakupa code, machawa wengi wanapakatwa fuatilia akina Mwijaku
Haki za binadamu zipi zaidi ya maongezi yenu ya propaganda?. Mnatumia sana propaganda za kwenye media kujijengea uhalali.

Sawa na mlivyoiona picha ya Waziri Kombo akiongea na boss wa ICC mkaitungia maneno mengi ya kuokoteza.

Sawa na ule uzushi mliomzushia Mafwele ikaja kugundulika ni radio mbao.

Ushahidi wa uchochezi wa Lissu upo kila mahali. Utakuja kutumika siku zijazo.

Kukinukisha ni kosa kubwa alitangaza vita dhidi ya mfumo unaoongoza nchi, Heche nae akasema uchaguzi hautakuwepo kabisa, uhaini mwingine huo.

Kupakatwa ni matatizo ya mtu binafsi, unataka kuniambia nyinyi machawa wa Lissu mliomo humu JF na mnaoshinda mkifuatilia kesi mahakama kuu hakuna hata mmoja anayepakatwa?.
 
Utaona matendo, wengi wetu tunapenda haki siyo mtu, hata wewe ukipenda haki utakuwa mmoja wetu.

Tatizo nyie mnatetea uovu mnasaliti utu na haki ya mtu kuishi sababu mlianza kusaliti jinsia zenu za kiume, kuwa chawa wa SAMIA na CCM lazima upakatwe, fuatilia akina Mwijaku
 
Ndio, acha kupakatwa itakusaidia kuwa na hekima
Nikukumbushe tena boss. Maji mengi kila siku, mazoezi kwa wingi, matunda pia usisahau. Ndizi parachichi nk.
Nb. Usitumie chumvi nyingi. Hii itakusaidia kupunguza swala kupanda kwa Pressure na sukari. Kwinginekoo.... Samia iz here to stay 2030 sio mbali. Vumilia
 
Utaona matendo, wengi wetu tunapenda haki siyo mtu, hata wewe ukipenda haki utakuwa mmoja wetu.

Tatizo nyie mnatetea uovu mnasaliti utu na haki ya mtu kuishi sababu mlianza kusaliti jinsia zenu za kiume, kuwa chawa wa SAMIA na CCM lazima upakatwe, fuatilia akina Mwijaku
Hilo la Mwijaku halihusiani na mada inayoendelea, tabia ile ile ya kipuuzi ya vijana wa Gen Z ya kuhamisha mada.

Haki inatendeka kila sehemu tatizo lenu akili mnaziweka kwenye mada hasi siku zote.
 
Back
Top Bottom