mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Unamaanisha nini mkuu mtukufu?Jiunge kwenye list ya members ambao mnatakiwa kukaa mbali na mazoea ya nje ya jf
Unamaanisha nini mkuu mtukufu?Jiunge kwenye list ya members ambao mnatakiwa kukaa mbali na mazoea ya nje ya jf
Hatakiwi kujaa kwenye 18 za watu wa kufirimbaUnamaanisha nini mkuu mtukufu?
Ukiwa na maana ipi? 😎Jiunge kwenye list ya members ambao mnatakiwa kukaa mbali na mazoea ya nje ya jf
Na huu ndio ukweli ,mazoea yoyote nje ya JF nisawa nakuweka rehani kinyeo kwenye MIKONO ya dula army na wenzie wasio na vichogoHatakiwi kujaa kwenye 18 za watu wa kufirimba
Wewe ndo waoga wa kutupwa kabisa. 😎 Unapaswa kuwa kitoweo kwa simba wa poriniHatakiwi kujaa kwenye 18 za watu wa kufirimba
Kwamba unaweka rehani kinyeo, we mjinga kweli. Ndo maana ukaitwa Ndama alfu mwehuNa huu ndio ukweli ,mazoea yoyote nje ya JF nisawa nakuweka rehani kinyeo kwenye MIKONO ya dula army na wenzie wasio na vichogo
Unanifokea nyuma ya kiboard! Kaandike IG ulichokiandika nijue kweli wewe mwanaumeWewe ndo waoga wa kutupwa kabisa. 😎 Unapaswa kuwa kitoweo kwa simba wa porini
Mkuu huyo bibi karukwa na akili , yeye na vichaa wenzake wasio na vichogo do kill for funKwamba unaweka rehani kinyeo, we mjinga kweli. Ndo maana ukaitwa Ndama alfu mwehu
Mbona wakina Heche hawaogopi? Unafikiri tulipofikia kuna haja ya kuogopa na kila kitu kiko wazi?Unanifokea nyuma ya kiboard! Kaandike IG ulichokiandika nijue kweli wewe mwanaume
Ndo maana nikakuuliza hivi ana roho kweli? 😭 Yaani natumia moyo kwa huu ungese.Mkuu huyo bibi karukwa na akili , yeye na vichaa wenzake wasio na vichogo do kill for fun
Vita inapiganwa taratibu rafiki tutafika hao watu tunawaunga mkonoNimekuwa nikimwona kama shetani kabisa. Hata wanawake japo huwa wanaroho mbaya ila linapo kuja swala la kuuwa watu, aisee huwa ni viumbe udhaifu sana. Lazima atachukuliwa na emotions tu.
Ila Huyu 🐸 kazidi kwa kweli, si kawaida hii. Au ndo laana aliyoisema jiwe inatutafuna?
Yaani with every revelation yeye ndo anazidi kufanya ufuksa, it's getting worse na tunakoelekea ni kubaya zaidi..
Kwa nini asiji achie tu na akimbie nchi? Tayari wameshakua na kutunyonya vya kutosha. Umri wenyewe umesha kwenda, kufa atakufa tu. Lakini hata wisdom ya kujua non of this shit is permanent, bali ni kuwaachia kizazi chako laana za watanzania tu.
Jamani, yaani ni navyo umia kisa hichi kiumbe, lolote limkute tu. Yaani she's more than a monster. Kila nikiangalia clip za mange, Heche, na Lissu. Huwa nashangaa ni kwa nini sis kama taifa hata tusiungane tukapiganie hii nchi? Kwa nini watu wachache wawe sadaka?
Aisee sijui watanzania wenzangu mnalionaje hili swala, ila ni hatari sana both kihisia na kisaikolojia kuona yanayotokea mbele ya macho yetu na kuwa sawa kuendelea kuishi kwa amani.
Labda kama tumerogwa au ni utamaduni Wetu to not care about anything.
Aisee, haya majitu haya!
Kwanza pole kwa maumivu rafiki yangu mtanganyika, safari ilishaanza tutafika tu na hii vita inapiganwa kwa style hiyohiyo ambayo watu uliowataja wanafanya, na kuwaunga mkono ni kweli tunawaunga sana angalia tumewezesha michango ya baraza kuu! linaenda kufanyika taratibu kutachaNimekuwa nikimwona kama shetani kabisa. Hata wanawake japo huwa wanaroho mbaya ila linapo kuja swala la kuuwa watu, aisee huwa ni viumbe udhaifu sana. Lazima atachukuliwa na emotions tu.
Ila Huyu 🐸 kazidi kwa kweli, si kawaida hii. Au ndo laana aliyoisema jiwe inatutafuna?
Yaani with every revelation yeye ndo anazidi kufanya ufuksa, it's getting worse na tunakoelekea ni kubaya zaidi..
Kwa nini asiji achie tu na akimbie nchi? Tayari wameshakua na kutunyonya vya kutosha. Umri wenyewe umesha kwenda, kufa atakufa tu. Lakini hata wisdom ya kujua non of this shit is permanent, bali ni kuwaachia kizazi chako laana za watanzania tu.
Jamani, yaani ni navyo umia kisa hichi kiumbe, lolote limkute tu. Yaani she's more than a monster. Kila nikiangalia clip za mange, Heche, na Lissu. Huwa nashangaa ni kwa nini sis kama taifa hata tusiungane tukapiganie hii nchi? Kwa nini watu wachache wawe sadaka?
Aisee sijui watanzania wenzangu mnalionaje hili swala, ila ni hatari sana both kihisia na kisaikolojia kuona yanayotokea mbele ya macho yetu na kuwa sawa kuendelea kuishi kwa amani.
Labda kama tumerogwa au ni utamaduni Wetu to not care about anything.
Aisee, haya majitu haya!
Aisee nipewe bomu nikajilupuwe kama al shababu 😔☺️Unanifokea nyuma ya kiboard! Kaandike IG ulichokiandika nijue kweli wewe mwanaume
Aisee nipewe bomu nikajilupuwe kama al shababu 😔☺️
Yaani tunakula bata mpaka kuku wanaona wivuuu
Umenikumbusha WORKING CLASS MOVEMENT IN ENGLAND..walijiandaa tangia miaka 100 iliyopita, step by step, its a play book ni kama hollywood movie yenye happy ending ambayo ndiyo sasa kwa upande wao at least. sasa nini kifanyike? haiwezi kuwa rahisi kwani wametoka mbali mpaka kuja kufikia hapa walipofikia kwanza mlitambue hilo hamuwezi kwenda vitani na kushinda kama hata adui hamumjui na malengo yake nini, hivyo someni na jielimisheni khs historia ya nchi halafu mtaelewa tumefikaje hapa.
binafsi sishangai kwa maana niliyajua yote kuanzia kifo Nyerere, baadaye uweka hazina wa ccm, Mkapa akaja kuvuta then nikajua game over , hivyo kwanza tulieni na msiwe emotional i.e hasira wekeni pembeni mikiwa na hasira matamalizwa kama kuku, tulieni na someni mchezo kisha mjipange, again ni lazima mmjue adui yenu ni nani na historia yake ...