Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Kwa yanayoendelea katika anga za Kimataifa Nchi Moja ya Afrika Mashariki ijiandae tena kuongozwa na Makamu wa Rais either kabla au baada ya uchaguzi.

Duru kutoka The Hague Uholanzi zinadai wakati wowote Rais mmoja mwanamke atatolewa hati ya kukamatwa na Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai kutokana na tuhuma za makosa dhidi ya Binadamu hasa ubakaji, utekwaji, upotezaji wa Wapinzani wa Kisiasa.

Baada ya Hati hiyo kutolewa kuna uwezekano ikaundwa TaskForce itakayoongozwa na moja ya Taifa kubwa sana duniani kuhakikisha anakamatwa na kufikishwa The Hague.

Tumefika pazuri sana.......

Ukombozi unakaribia..........
Aisee!mambo yanazidi kunoga
 
Aisee kumezidi kunoga
 
Ukiusoma huu Uzi na comments zake zote utagundua kama mifumo ya uchaguzi ikiwa huru basi Tanzania itakua ni miongoni mwa nchi ambazo tutakua na rotation nzuri sana ya viongozi.

All in all muda bado utaendelea kuwa mwalimu mzuri.
 
Huwezi kupata uwekezaji mkubwa kwa mazingira mabaya ya TZ David Kafulila. Ukitaka kuongeza uwekezaji ni kuweka mazingira mazuri ambayo ni sheria nzuri, mahakama imara, siasa za haki na utulivu na wafanyakazi bora

Ukiangalia vizuri uwekezaji uliongezeka kwasababu mwaka 2021-2022 Raisi Samia hakuwa huyu alikuwa na matumaini ndiyo uwekezaji tunaona sasa.

Sasa Rais Samia amekuwa Rais wa utekaji, kugombana na kila mtu, kufunga makanisa na kufunga viongozi wa wapinzani. Mahakama na bunge dhaifu hatutaweza kupata mitaji mikubwa kuja kuwekeza kwa mazingira haya
 
Wakuu, niulize kitu.
Kulikuwa na umuhimu gani kumchagua mgombea mwenza kwa kuzingatia jinsia badala ya kuzingatia uwezo?
Kwa ninavyojua , mgombea mwenza ambaye badae huja kuwa makamu wa mshindi huwa ni Rais mtarajiwa ikiwa muda wowote Rais aliyepo atashindwa kutimiza majukumu yake . Ni kama Rais mtarajiwa muda wowote likitokea la kutolea.

Sasa nafasi nyeti kama hiyo unatumiaje vigezo hafifu kama hivyo?

Nafikiri ilikuwepo nafasi ya kufanya reshuffle hapo katikati, tena katika njia rahisi maana mtu kasusa mara kadhaa lakini watu waliacha hizo nafasi zipotee.

Sasa matokeo yake ndo haya. Muhusika alaumiwe lakini Wapo wakulaumiwa zaidi.
Na sasa wajipange upya, waweke hisia na urafiki pembeni, lasivyo tutaletewa vitu vya ajabu zaidi.

Kuna nafasi sio za kuchezea.

I think it's time to take action.
It's time guys..... We're running out of time!
Wakati wa kufanya uamuzi muhimu, ni watu wachache sana hujiuliza hili swali: “nikifa hapo katikati itakuwaje?” You would think God has irrevocably guaranteed our life for a specified period of time. JPM angejua kingetokea kile kilichotokea, I am sure huyu idiot aliyerithi hicho kiti asingepewa heshima ya kuwa running mate!
 
Saivi mgombea mwenza lazima uwe na uwezo.. na sio kuokota okota tu watu wasio na ujuzi
 
Sasa kama Samia ana cheap popurality sijui Magufuli alikuwa na nini? Maana yeye alimulikwa na Kamera hata akienda kumuomba Mungu wake.

Tulia mzee dawa ikuingie. Mlisema maendeleo ya Tanzania yamecheleweshwa na wapinzani sasa kuanza kijiji, kitongoji mpaka taifa ni CCM tupu.

Usiangalie idadi ya kurasa angalia utekelezaji.
Mwamba aliona mbali
 
Back
Top Bottom