Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,239
- 29,566
Ingekuwa enzi zile zama za jiwe tungesema ni ndege JOHN ,ila zama hizi ni za Kunguru wa Unguja .Inategemea na aina ya ndege, sasa sijui mwenzetu unamuongelea ndege gani
Ingekuwa enzi zile zama za jiwe tungesema ni ndege JOHN ,ila zama hizi ni za Kunguru wa Unguja .Inategemea na aina ya ndege, sasa sijui mwenzetu unamuongelea ndege gani
Ndege JohnInategemea na aina ya ndege, sasa sijui mwenzetu unamuongelea ndege gani
Tukianza na kaya, hakuna ulio wahi kuongozwa na mwanamkeDah, kuongozwa na jinsia fulani ni changamoto sana
Kukaa kimya ni busara hasa ukiwa mtu wa kutoa maamuzi ya MWISHO,
Ushauri wa hovyo umeacha nyeti za ndege wazi, na ubaya zaidi zina fungus …
Dawa yake ni nini ?
Britanicca
Au ana “pangusa”?Fungus isiyosikia dawa
Tunakoelekea ni Mungu tu anajua!
Tamaa gani tena mkuu?,kama ni yule kila kituTamaa mbaya sana.
Huyu hapaInategemea na aina ya ndege, sasa sijui mwenzetu unamuongelea ndege gani
Unywe fangasi?Unapenda midomo yako,ulimi na hata utumbo wako kweli?Hiyo ni death sentence.Huyo ndege mwenye fungus kwani hafai hata kufanywa supu tunywe!?
Badala ya kuongoza nchi yy anafanya mipasho,Eti mshauri mkuu kikwete vichekesho kabisa Tanzania.Kukaa kimya ni busara hasa ukiwa mtu wa kutoa maamuzi ya MWISHO,
Ushauri wa hovyo umeacha nyeti za ndege wazi, na ubaya zaidi zina fungus …
Dawa yake ni nini ?
Britanicca
Analazimisha kwa kutumia nguvu nyingi. Ukisukuma kitu kwa nguvu nyingi kikianguka au kukupisha lazima uanguke ndicho kitakachomtokeaKukaa kimya ni busara hasa ukiwa mtu wa kutoa maamuzi ya MWISHO,
Ushauri wa hovyo umeacha nyeti za ndege wazi, na ubaya zaidi zina fungus …
Dawa yake ni nini ?
Britanicca
Should we keep counting? britaniccaKukaa kimya ni busara hasa ukiwa mtu wa kutoa maamuzi ya MWISHO,
Ushauri wa hovyo umeacha nyeti za ndege wazi, na ubaya zaidi zina fungus …
Dawa yake ni nini ?
Britanicca