Hakuna kukosolewa, hakuna kupinga anachosema, fomu moja tu agombee peke yake, anataka wote waimbe 'mama' 'mama'.
Anataka vyombo vya habari viimbe 'mama', bunge liimbe 'mama', vyombo vya dola viimbe 'mama', wasanii waimbe 'mama' wasomi waimbe 'mama', vyama vyote vya siasa viimbe 'mama', viongozi wa dini waimbe 'mama' na of course ana enjoy.
Kiongozi wa Korea Kaskazini hataki kuona vyama vya siasa, hataki kusikia mpinzani yeyote kwenye nchi yake, haelewani na majirani zake wa damu Korea Kusini, akimkamata mwandishi wa habari kutoka Korea Kusini anamtesa na kumnyonga.
Kwa hali ilivyo sasa Samia ana tofauti gani na Kim Jong Un ambaye hata ukinyoa kama yeye anakunyonga.