Mzee Ngonyani
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 1,400
- 2,736
Asinge kuwa anasimama kwenye majukwaa kuongelea kitu asichokifanya ,angekemea lakini yeye hafanyi hivyoHii nchi inawezekana kuna kikundi cha watu kiliichukua mateka.
Mama ni pazia tu ndio maana huwa simlaumu saana.
Yawezekana kuna mambo yakitokea hata yeye huwa anaumia lakini kikundi kina m blackmail