Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Menopause huleta hasira woga na taharuki zisizo na msingi
 
Mfano magufuli angeedelea Hadi Sasa ni kweli Wana CCM wangethubutu kumshawishi agombee kumrithi magufuli? Tuseme TU ukweli huyu alifaa kikatiba tu kumrithi magufuli baada ya kufariki si vinginevyo. Amekua uchochoro sana.
Huyu hakufaa kabisa kupewa majukumu makubwa hivi. Hajiamini kiasi ambacho akisemwa kdg tyr anaona ufumbuzi na kumuua aliyemsema. Hivi kweli yule kijana aliyechoma picha yake alikuwa na threat gn Kwa utawala wake? Yule kijana, ht kwa kumuangalia tu, alikuwa Ni mtu wa kupuuzwa tu. Bila huruma anamkamata na kumchinja km Kuku?Huyu inaonekana ss anafurahia kuona damu za wakosoaji wake zikimwagika. Ndiyo starehe yake.. Tuna Sheikh Asina mwingine hp Tanzania. Lkn kwa Bahati mbaya hatuna Mgen Z Wa Bangladesh Wala Wa Kenya. Sisi tuna machawa tu Wa kusifu na kuabudu. Yaani mtu anateka n kuua watu lkn anasifiws. Ataendelea kuogelea kwenye damu za watu hadi aache mwenyewe.
Tuhurumie Sheikh Asina
 
Kenge lenyewee
1000026538.jpg
 
Mfano Magufuli angeedelea Hadi Sasa ni kweli Wana CCM wangethubutu kumshawishi agombee kumrithi Magufuli?

Tuseme TU ukweli huyu alifaa kikatiba tu kumrithi Magufuli baada ya kufariki si vinginevyo. Amekua uchochoro sana.
Tatizo lake ana kiburi sana. Yaani mtu anajua kabisa kuwa ameingia kwenye hiyo nafasi kwa bahati mbaya tu lakini anashupaza shingo anajiona ana uwezo wa kuendesha nchi. Hopeless kabisaaaa
 
Mfano Magufuli angeedelea Hadi Sasa ni kweli Wana CCM wangethubutu kumshawishi agombee kumrithi Magufuli?

Tuseme TU ukweli huyu alifaa kikatiba tu kumrithi Magufuli baada ya kufariki si vinginevyo. Amekua uchochoro sana.
Amekuwa kenge mkubwa
 
Huyu hakufaa kabisa kupewa majukumu makubwa hivi. Hajiamini kiasi ambacho akisemwa kdg tyr anaona ufumbuzi na kumuua aliyemsema. Hivi kweli yule kijana aliyechoma picha yake alikuwa na threat gn Kwa utawala wake? Yule kijana, ht kwa kumuangalia tu, alikuwa Ni mtu wa kupuuzwa tu. Bila huruma anamkamata na kumchinja km Kuku?Huyu inaonekana ss anafurahia kuona damu za wakosoaji wake zikimwagika. Ndiyo starehe yake.. Tuna Sheikh Asina mwingine hp Tanzania. Lkn kwa Bahati mbaya hatuna Mgen Z Wa Bangladesh Wala Wa Kenya. Sisi tuna machawa tu Wa kusifu na kuabudu. Yaani mtu anateka n kuua watu lkn anasifiws. Ataendelea kuogelea kwenye damu za watu hadi aache mwenyewe.
Tuhurumie Sheikh Asina
Inasikitisha sana
 
Mobeyo alituuza kwa kweli. Hakujua hii kampuni inahitaji watu wa aina gani matokeo yake leo ni vilio kila kona hadi Kampala na Nairobi.
Alitakiwa aongozi siku 90 tu uchaguzi unaitishwa.
Mabeyo alipotaka kushtuka kapewa ubalozi sijui wa nchi gani vile!
 
Usipo kubaliana na kulaumiwa na wananchi unakuwa magufuli unasepa unaacha vitamuu sasa kachagua maisha yake na miaka yake yaishe kwa uongozi asepe kuweni naakili sio kila mtu analaumiwa tu.
 
Mfano Magufuli angeedelea Hadi Sasa ni kweli Wana CCM wangethubutu kumshawishi agombee kumrithi Magufuli?

Tuseme TU ukweli huyu alifaa kikatiba tu kumrithi Magufuli baada ya kufariki si vinginevyo. Amekua uchochoro sana.
Umshawishi kugombea baada ya Mwendazake kwani alipata wapi kupimwa?

Ni kama vile useme umshawishi Mpango agombee,Kwa kipimo gani?

Mwisho unaposema uchochoro unamaanisha nini?

Haya kakaa miaka 4 tayari unampima Kwa kipimo gani au jinsia Yako na yake ? 😁😁
 
Back
Top Bottom