Ona Jinga hili,Kwa hiyo watu wakiongezeka basi hela zinajiongeza?Pesa kuzalishwa kwa wingi ni kwa Sababu watu wameongezeka hivyo na wafanyabiashara wameongezeka yaani hata kama asingekuwepo ingeongezeka hata atakaekuja badala yake makusanyo yataongezeka
Kwahiyo ukimlinganisha Samia na hao viongozi wengine ndio hatukuti makosa na mabaya kwenye uongozi wa Samia? Nachozungumzia ni kwamba kila sifa mnayoona nzuri mnamuhusisha yeye ila kwenye mapungufu ya kwenye uongozi wake ndio hamumuusishi nayo yani hayo hayamuhusu.Sio swala la kumbebesha sifa zote by the way ni sawa kabisa akizineba na kuzizoa zote maana development strides zimefanyika awamu yake.
Nimewaambia leteni vigezo vya Kiongozi tulinganishe mnajizunhusha tuu kama popo.
Na hamuwezi leta Kwa sababu mnasukumwa Kwa chuki na jinsia,kwamba Ukiwa na mzakari mrefu basi ndio sifa ya kuwa Kiongozi au? 😂😂😂😂
Leta Sia za Viongozi wenu waliopita tuwalinganishe na Samia.
Huyo ndege mwenye fungus kwani hafai hata kufanywa supu tunywe!?Kukaa kimya ni busara hasa ukiwa mtu wa kutoa maamuzi ya MWISHO,
Ushauri wa hovyo umeacha nyeti za ndege wazi, na ubaya zaidi zina fungus …
Dawa yake ni nini ?
Britanicca
Tamaa mbaya sana.Kukaa kimya ni busara hasa ukiwa mtu wa kutoa maamuzi ya MWISHO,
Ushauri wa hovyo umeacha nyeti za ndege wazi, na ubaya zaidi zina fungus …
Dawa yake ni nini ?
Britanicca