Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Kukaa kimya ni busara hasa ukiwa mtu wa kutoa maamuzi ya MWISHO,

Ushauri wa hovyo umeacha nyeti za ndege wazi, na ubaya zaidi zina fungus …

Dawa yake ni nini ?

Britanicca
Hivi mkuu mliwaza nini hadi mkampa nchi mtu ambaye ni form four failure?

"Mwanamke ni mtu wa jikoni"

aliwahi kusema Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari.

Huyu kingine anachoweza ni usanii, fashion ya mavazi, Tour za kwenye mataifa.
Uongozi hana uwezo wa kuongoza.
 
Nakumbuka Unabii wa yule Mchungaji wa Arusha, alisema...!

"Mungu atamfanya awe kama Binti wa miaka 19, atayafanya Mawazo yake yawe kama ya Mtoto wa Umri huo, pia atawafanya Wasaidizi wanaomshauri wawaze kama anavyowaza yeye (Kama Binti wa miaka 19)"
Huyu mchungaji si ndo waliyekuja kumteka baadaye au ni mwingine
 
Kukaa kimya ni busara hasa ukiwa mtu wa kutoa maamuzi ya MWISHO,

Ushauri wa hovyo umeacha nyeti za ndege wazi, na ubaya zaidi zina fungus …

Dawa yake ni nini ?

Britanicca
This message is like an elimination order. Kuna watu ni kama hatunao hivi, maana hata ukifunika nyeti bado fungus ni tatizo. Ukitibu fungusi vipi 'ushauri' kutoka mapenzini mwa Delilah?
 
Back
Top Bottom