NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 12,322
- 10,920
Tuwaulize watu wa yanga wanaweza kutushauri.natania tu.Huyo ndege mwenye fungus kwani hafai hata kufanywa supu tunywe!?
Tuwaulize watu wa yanga wanaweza kutushauri.natania tu.Huyo ndege mwenye fungus kwani hafai hata kufanywa supu tunywe!?
Tatizo sio jinsia mkuu, akili hana huyo...uwezo ndo ishu!!.Dah, kuongozwa na jinsia fulani ni changamoto sana
🤣 🤣 🤣Kukaa kimya ni busara hasa ukiwa mtu wa kutoa maamuzi ya MWISHO,
Ushauri wa hovyo umeacha nyeti za ndege wazi, na ubaya zaidi zina fungus …
Dawa yake ni nini ?
Britanicca
🤣 🤣 🤣Huyo ndege mwenye fungus kwani hafai hata kufanywa supu tunywe!?
Tumekosea kuwapa nchi wanzanzibar sanaKukaa kimya ni busara hasa ukiwa mtu wa kutoa maamuzi ya MWISHO,
Ushauri wa hovyo umeacha nyeti za ndege wazi, na ubaya zaidi zina fungus …
Dawa yake ni nini ?
Britanicca
🙋✍️👌👍🤝🙏Mda ni mwalimu wangu mzuri Ukweli una speed ya Kobe lakini haujawai kushidwa kufika mwisho wa safari
🤔🤔🤔Should we keep counting? britanicca
🤣 🤣 🤣Kesi ya lissu imetrend vilivyo angalia ufatiliaji online huko labda kama unazungumzia bunge kibudu linaloendelea huko
Umemgeuka shoga Yako?Huyu mama hafai kuwepo nchini sio Ikulu tuu.
Daah!Huyu mchungaji si ndo waliyekuja kumteka baadaye au ni mwingine
Dah, kuongozwa na jinsia fulani ni changamoto sana
Hahaha 😂 dah kila mwanaume ataogopa fungus maana atajiuza ila wa kumdo hayupo kabisaKukaa kimya ni busara hasa ukiwa mtu wa kutoa maamuzi ya MWISHO,
Ushauri wa hovyo umeacha nyeti za ndege wazi, na ubaya zaidi zina fungus …
Dawa yake ni nini ?
Britanicca
Hakika yakeKukaa kimya ni busara hasa ukiwa mtu wa kutoa maamuzi ya MWISHO,
Ushauri wa hovyo umeacha nyeti za ndege wazi, na ubaya zaidi zina fungus …
Dawa yake ni nini ?
Britanicca
HahahahaKukaa kimya ni busara hasa ukiwa mtu wa kutoa maamuzi ya MWISHO,
Ushauri wa hovyo umeacha nyeti za ndege wazi, na ubaya zaidi zina fungus …
Dawa yake ni nini ?
Britanicca
Hahahah na walimkamata wakampiga nusu wamuue. Ila hii nchi hakika Dkt Magufuli alisema tutamkumbukaNakumbuka Unabii wa yule Mchungaji wa Arusha, alisema...!
"Mungu atamfanya awe kama Binti wa miaka 19, atayafanya Mawazo yake yawe kama ya Mtoto wa Umri huo, pia atawafanya Wasaidizi wanaomshauri wawaze kama anavyowaza yeye (Kama Binti wa miaka 19)"
Leo umeongea kama mpare mwerevuHuyu mama hafai kuwepo nchini sio Ikulu tuu.