Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”

Naunga mkono hoja, wengi ndio wamemfahamu Samia sasa baada ya kuwa rais, angalia watu tulisema lini na nini kumhusu mtu huyu...

P
Mkuu Paschal Mayalla, kaka mkubwa, Ngosha. Nimefuatilia sana Makala zako, hakika una roho ya unabii. Mengi uliandika yakatokea baadae, wewe Ni kichwa. Nilikwazika ulipogombea ubunge kawe kwa sababu nilikuwa hutafanikiwa hapo una uwezo mkubwa, hapa tatizo Ni mfumo, hautaki watu wa aina yako. Siku JPM anakutana na waandishi wa habari, wewe ndie uliye thubutu kuuliza swali la ukweli.

Bado nashangaa Ni kwa mini hupewi nafasi unayostahili kulitumikia Taifa. Wewe Ni hadhina iliyotupiliwa mbali.

Wenye mamlaka angalieni namna ambayo mtu huyu atatumika vyema kuisaidia Nchi yake.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu PUNKY , kwanza asante sana kunitakia mema na kuniombea wenye mamlaka wanione.

Ili mtu kulisaidia taifa lako sio lazima uteuliwe, mimi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, nilikuwa na kampuni ya kuandaa vipindi vya TV yenye wafanyakazi 20. Nilikuwa napanga jengo la NHC mjini kati kwa bei ya pango kwa mwezi ni zaidi ya mshahara wa DC!. Kodi ninayolipa inawalipa ma DC 5, ma RC 3 na Wakurugenzi wawili. Pasco Mayalla kitu pekee anachohitaji ni kwa ile kampuni yake, kurudishiwa zile tenda za serikali, tumsaidie Mama Samia kuilipa mishahara ya hap nilio wataja.
P
 
Ulishazi broadcast humu? Au maneno matupu tuu?!
Zilikuwa contracted documentaries na sio vipindi vya PPR. Ukipewa kazi ya mtu, huruhusiwi kuitangaza, bali kuikabidhi, kwa wenyewe, wakiamua kutangaza ni wao.
P
 
Mkuu Nzwangendaba, kwanza hongera kwa jina zuri, linafanana na yule kiongozi wa Wangoni kutoka Africa Kusini kuja kuhamia Tanzania, Zongendamba.

Karibu mitaa hii, angalia tuu tarehe ya bandiko ni la lini na nini kilikuja kutokea.
P
 
Samia sio president material. Hana ushawishi wa maneno wala wa vitendo. Hata akisimama jukwaani hana nguvu ya kisiasa.

NB: CCM wakitaka waaibike 2025 wamuweke huyu mama. Watapata aibu ya karne.
I'd like to differ, its the other way round,
na 2025...Utashangaa!.

P
 
Duh na wewe kumbe ni mnafiki! Sikujua Hilo. Ulimsifu Sana jpm kuwa ni masihi mpaka ukaunga juhudi, Sasa unajiweka Tena kwa Mana akuone. Hivi huiamnj kabisa kuwa unaweza kuishi bila kulamba lamba watu?
Angalia tarehe ya bandiko hili.
P
 
Akizungumzia juu ya kubadili cabinet kwa ajili ya kuwapumzisha fever 2025, wote aliowatumbua walionekana ni fever 2025!.

Watu walipoanza kuwaulizia Lukuvi na Kabudi, kosa lao ni lipi?. Ndipo Mama huruma ikamwingia, aka feel sorry for them, akaamua kwanza kuwaita na kuwaomba msamaha kiaina kwa kuwapooza kuwa hajawatumbua bali amewatoa ili kuwaleta karibu zaidi kumsaidia. Hii ni virtue ya being so considerate
" awe.
Consideration Thoughtful and sympathetic regard for the needs of others. Careful thought. She is very considerate for the plight of others".

Mungu azidi kumbariki huyu Mama.
P
 
Kama una maono kwa nini ujaona na
Karibu
P
 
Nami nijiunge na Watanzania wenzangu kumtakia Happy Birthday President Mama Samia Suluhu Hassan.
P
 
Hizo ni tabia za KICHACHAWA na tabia za nyinyi CHAWA ni kuwahadaa maboss wenu kuwa mnawapenda kwa kuwaandalia sherehe kama hizi!!!
Mkuu Bulesi, nimesema wazi kabisa kuwa sherehe za birthday ni sherehe za kizungu sisi watu wa bushi tulikuwa hatuzifanyi, lakini sasa kutokana na maendeleo nasi sasa tunazifanya. Kumfanyia bosi, wife, wazazi, watoto a surprise party, ni ishara ya upendo na sio uchawa, ila pia naomba kukiri, the dividing line between upendo wa dhati na uchawa is very thin, kama ilivyo mwanaume kumtokea demu bomba mwenye sura nzuri na bonge la shape na kumwambia "I love You," kuwa unampenda na umemzimikia kwake umekufa umeoza, the dividing line between hiyo I love you yako yako kama ni love kweli na umempenda kwa dhati au ni lust tuu unamtamani umduu tuu, is very thin, with naked eyes you just can't tell, ila sisi wa jicho la tatu can!. Najitolea mfano mimi mwenyewe, ikitokea nikamsifia Samia kwa lolote very genuine, halafu ukaniita chawa utakuwa ni unanionea kwasababu kumsifu sikuanza leo!.
Angalia tarehe za mabandiko haya...
Hivyo kwa mtu kama mimi kumtakia Rais Samia Happy Birthday, ni bonafide Happy Birthday na sio uchawa!.
Happy Birthday Rais Mama Samia!.
Paskali.
 
Mkuu Maryam Malya, sisi haya tuliyaona zamani!.
P
 
Leo ni Siku ya Wanawake Duniani.
Nawatakia Wanawake Wote, maadhimisho mema ya Siku ya Wanawake Duniani.

Paskali.
 
Nafanya mapitio ya baadhi ya kauli umba.
Hii ni kauli umba ya kumuumbia mtu urais wa JMT.
P
 
Huyu Jamaa ana uchu wa Madaraka
Nimehudumu kwenye media kwa miaka 30, niliwahi gombea nafasi yoyote ya uongozi hadi useme nina uchu?
kajipendekeza kwa Magufuli mpaka Kafa
Kwenye kipindi cha JPM, niliwahi gombea chochote?.
Kaanza kwa Mama bado hali ni tete
Wengi wenu mmemfahamu Mama Samia, baada ya kuwa Rais wa JMT, angalia tarehe ya bandiko hili ni la lini na nilizungumza nini kumhusu Samia!, Jee nilikuwa najipendekeza kwa Samia tangu 2017?
P
 
Mkuu Stroke, humu jf tunajadiliana kwa hoja, facts na nondo za kutetea hoja yako. Ukitoa hoja fulani, unaitetea hoja yako kwa facts na data.

Bandiko langu hili la 2017, ni full of facts, data na specific kumhusu Samia!,
Kuna ambalo niliandika 2016 jamaa akakopi 2017 halafu anaanza kujisifia.

Watu bhana.
Wewe bandiko lako hili, Utabiri wangu: Rais 2025 Tanzania ni mwanamke
japo ni la 2016,
ulisema
Naona kuna dalili zoote kuwa Rais wetu ajaye baada ya huyu wa sasa kuwa mwanamke!

Naomba hili liwe reference kwa 2025!
ulizungumzia tuu jinsia ya rais wa Tanzania, 2025 na wala hukumtaja ni nani, ukimaanisha anyone alimradi ni mwanamke.

Bandiko langu ni kuhusu urais wa Samia kwa 2020, utasemaje nimecopy bandiko lako which had nothing compared?.

Kwenye bandiko langu hili, nini nilicho copy kwako?. Mimi nimezungumzia urais wa 2020, wewe umezungumzia urais wa 2025, copycat na plagiarism iko wapi?.

Simba na Yanga zikicheza, kisha wewe ukabashiri, "kuna timu itafunga bao", bila kuitaja hiyo timu au mabao, huo sio ubashiri ni kuotea tuu!.

Ubashiri wa kweli ni kuwa specific!.
P
 
Wakizeeka na kiburi chao huwa wanakuwa members wa TAMWA au taasisi nyingine za kisheria za masuala ya haki za kinamama.
 
Mkuu Sexless , kwanza naungana na wewe kwenye the quest for information, we are living in a world of information Science, akiteua atoe sababu na akitumbua pia atoe sababu. Kwa vile hatujahi ku demand rais atoe sababu za kumteua fulani, siku akitumbua pia hatuna justification ya ku demand kupewa sababu!.

Nimekuleta hapa ili kukujulisha kuwa huyu Mama ni very humble and down to earth, hivyo hana tatizo kabisa na ile issue ya London bus kama nilivyo eleza hapa Hakuna ubaya wowote wala ajabu yoyote Marais kupanda pamoja! Tulipanda basi moja na Rais Mkapa nchini Sweden
P
 
Paskali kwa kutabiri anatisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…