RIGHT MARKER
Senior Member
- Apr 30, 2018
- 129
- 473
Machi 8 kila mwaka, wanawake mnasherehekea siku ya mwanamke duniani. Bahati nzuri ni kwamba asilimia kubwa ya wanawake siku ya tukio.....
1. gharama za vitenge mnavyoshonesha,
2. magari binafsi mnayozunguka nayo,
3. michango mnayochangishana kwa ajili ya kununua zawadi,
4. pesa za chakula na nauli kwenye pochi zenu,
5. pesa ya manunuzi ya heleni, viatu, wigs, nywele, lipstick, makeup, n.k
hivyo vyote wengi wenu mnawezeshwa na wanaume/waume zenu. Kwahiyo wewe mwanamke ni muhimu kuendelea kuheshimu nafasi ya mwanaume wako huku ukizingatia kwamba mwanaume ni kichwa cha familia yako.
👁️Wanaume wakorofi ni wachache sana mbele ya wanawake wanaoheshimu nafasi ya mwanaume. Ni ujinga mwanamke ambaye huna hekima kwa mumeo halafu unasubiri tarehe 08/03/2025 (siku ya mwanamke) ukarukeruke uwanjani na kujiita Super woman.
👁️Chips za vibandani sio chakula cha kulisha familia yako, ingia jikoni upike. Ni aibu mwanamke kila siku unaamka ndani kwako unakwenda kununua vitafunwa vya chai vilivyo andaliwa na mwanamke mwenzako, halafu unasubiri tarehe 08/03/2025 (siku ya mwanamke) ukurukeruke uwanjani na kujiita Super woman.
👁️Umemtupa mwanao kijijini kwa bibi yake wewe upo mjini kudanga, na hela za kudanga unaishia kununua nguo zako upendeze. Mwingine majukumu yote ya ndoa yako umemwaachia house girl halafu unasubiri tarehe 08/03/2025 ukarukeruke uwanjani na kujiita Super woman.
RIGHT MARKER
DAR ES SALAAM