Siku ya Wanawake: Wanawake Wajasiriamali waenda Chato kufagia kaburi la hayati Magufuli

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nichukue fursa hii kuwatakia Wanawake wote sikukuu yenye baraka.

Pili, niwapongeze akina mama Wajasiriamali waliofunga safari kutoka Dar es salaam wakielekea Chato kusafisha kaburi la hayati Magufuli wakikumbuka jinsi alivyowapambania.

Mungu wa mbinguni awabariki Wanawake wote.

Kwaresma njema!
 
Kwaresma njema na kwako pia mkuu. Nimemsikia Dr Gwajima (MP) leo hii kupitia E Fm redio akisema leo ni 'sikukuu ya wanawake'.
Sasa wewe unatuambia ni 'siku ya wanawake', nachanganyikiwa hapa mkuu.
 
AMINA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…