Siku ya Wanawake: Wanawake Wajasiriamali waenda Chato kufagia kaburi la hayati Magufuli

[emoji23][emoji23]Acha wafu wazike wafu wenzao
 
Endelea kutoelewa!
muda ni rasilimali muhimu na isiyoweza rejea(recycle).

Sasa ambacho siwezi kukielewa ni kwenda kufanya maigizo makaburini kwenye siku yenye malengo muhimu kwa mwanamke ni kupoteza muda by the way kuna uhusiano gani Kati kaburi na maendeleo ya wanawake
 
Kuna kejeli zisizo na afya kwa ustawi wetu ni vema tukawa selective of what to and not to write
 
Duu kaburi gani wanaenda kusafisha sasa ? Lili lenye tiles na milango ya vioo? Waambie wakasalimie watoto yatima wawapelekee na vitu au wakasafishe hospitali yeyote kumuenzi. waache uchuro.
 
Hakuna uhusiano mkuu, ni maigizo tu na kujikombakomba tu, ajabu utakuta makaburi ya baba zao au mama zao hawajawahi kuhudhuria kufanya usafi.
 
Duu kaburi gani wanaenda kusafisha sasa ? Lili lenye tiles na milango ya vioo? Waambie wakasalimie watoto yatima wawapelekee na vitu au wakasafishe hospitali yeyote kumuenzi. waache uchuro.
Unaelewa maana ya kusafisha kaburi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…