isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,560
Habari đź‘‹
Ikiwa ni siku ya wazee na siku muhimu ya kutambua mchango wao katika mataifa mbalimbali, ningependa kufahamu mchango wa wazee katika Taifa–Tanzania.
Maana ni rahisi kufahamu na kutambua mchango wa wazee kwa mataifa kama Malaysia, Indonesia, Qatar, Pakistan, India na mengineyo
Miaka 60 ya uhuru miaka 50 ya uzee wazee ni upi mchango wao katika taifa lenye umaskini uliokithiri, ubaguzi, uzazi holela, maradhi, ujinga na jamii uliyojengwa katika misingi ya unafiki na upumbavu?
Karibu Tujadili.