Siku yako ya Kwanza kumiliki nyumba, gari, pikipiki, baiskeli, ilikuwaje

kuhamia kwangu ilikuwa 'feelings" ya ajabu kabisa,ilikaribia kbs ya wakati napata mtoto wangu wa kwanza. Kwa gari,kiasi tu..full tank mda wote,mshale ukishuka hata kidogo najazia,mda wote safiii na AC full time..Pia nilikuwa nikuta mawe makubwa mbele,nashuka kuyatoa gari isiumie 😀
 
hahaaaaa
 
Kumiliki kitu Kama nyumba, gari,baiskeli, pikipiki sio kitu Cha mchezo,
Tuambie siku yako ya Kwanza kumiliki .......... ulikuwa na mzuka gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikuona kitu cha ajabu zaidi ya kwamba nimefikia moja ya malengo katika maisha yangu na kwamba naanza safari kukimbizana na mengine
 

Aiseee 🤣🤣🤣


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kusema uongo dhambi, mimi sijawahi kumiliki hata kimojawapo hapo....sijui nikimiliki itakuwaje aisee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…